Chadema yapeta Tarime
MATOKEO ya kura za udiwani na ubunge katika majimbo ya Tarime Mjini na Tarime Vijijini yameonesha wagombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepata ushindi katika nafasi hizo ukilinganisha na wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Dec
Chadema yatikisa Tarime
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezoa viti vingi vya vitongoji, mitaa na vijiji vilivyokuwa vikikaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime.
10 years ago
Habarileo17 Dec
Vijiji 46 Tarime vyaenda CCM, Chadema 39
NGUVU ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeonekana wilayani Tarime baada ya kupata ushindi wa vijiji 46 kati ya 88, huku Chadema ikivuna viti 39 katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika kote nchini Jumapili iliyopita.
9 years ago
TheCitizen07 Dec
Chadema names nominee for Tarime district council chairmanship
9 years ago
AllAfrica.Com08 Dec
Tanzania: Chadema Names Nominee for Tarime District Council Chairmanship
Tanzania: Chadema Names Nominee for Tarime District Council Chairmanship
AllAfrica.com
Tarime — Chadema has nominated Nyamwaga ward councilor Mr Moses Yomani to bear the party's flag in the race for Tarime district council chairmanship. Mr Yomani defeated his rival for the seat Matongo ward councilor Mr Samson Nsanda after garnering ...
9 years ago
VijimamboESTER MATIKO (CHADEMA) ATANGAZWA RASMI KUWA MSHINDI WA KITI CHA UBUNGE TARIME MJINI
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Kombe la ligi:Man U yapeta
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Arsenal yapeta Ligi Kuu England
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Wabunge wapigwa, CCM yapeta udiwani
9 years ago
StarTV31 Oct
U-17 Mali yaichakaza Honduras, Coratia yapeta.
Michuano ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 hatua ya makundi inayoendelea nchini Chile timu ya Mali imetinga hatua ya 16 na kuongoza kundi D baada ya kuitandika timu ya Korea kaskazini kwa mabao 3-0.
Kipigo hicho kimeipa mkono wa kwaheri wa kutupwa nje ya michuano hiyo, huku Amodou Haidara akiifungia Mali bao la kuongoza , kabla ya nahodha Abdou Dante akiongeza la pili , na kisha Aly Male akiihakikishia ushindi kwa kupachika bao la tatu sasa timu hiyo itakipiga na Coratia...