Wabunge wapigwa, CCM yapeta udiwani
>Wabunge wawili, mmoja wa CCM na mwingine wa Chadema, jana walikula vichapo walipokuwa katika harakati za uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika katika kata 27 nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-7TqmZ_9E_ss/XrvoW85F2iI/AAAAAAALqEc/QBxGMtsZRuk-wEzaH6GEmJpNcmViSpPgwCLcBGAsYHQ/s72-c/PAZURI.jpg)
10 years ago
Habarileo15 Jul
Fomu za ubunge, udiwani CCM leo
BAADA ya mchuano wa kuwania uteuzi wa kugombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM uliomalizika kwa Dk John Magufuli kuibuka mshindi, kwa wiki moja kuanzia leo joto la siasa linatarajiwa kuhamia kwa makada wa chama hicho wanaowania kuteuliwa kuwania ubunge na udiwani kote nchini.
9 years ago
Mwananchi27 Oct
CCM, Ukawa wakabana koo udiwani
9 years ago
Mwananchi17 Aug
CCM yatambulisha wagombea udiwani, ubunge
11 years ago
Habarileo21 Jun
Madiwani 5 CCM, mmoja CUF wavuliwa udiwani
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Kagera, imewavua madiwani sita nyadhifa zao baada ya kubainika kuwa, walishindwa kuhudhuria vikao vya kikanuni vya halmashauri ya manispaa hiyo, hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa madiwani. Madiwani hao waliovuliwa nyadhifa zao jana, pia wametakiwa kulipa gharama za kesi hiyo.
9 years ago
Mwananchi28 Aug
Mgombea udiwani CCM apita bila kupingwa
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Mgombea udiwani Kata ya Uyole CCM afariki ghafla
10 years ago
Mtanzania06 Jun
Matajiri wapigwa stop urais CCM
ELIZABETH MJATTA (DAR) NA DEBORA SANJA (DODOMA)
SIKU chache baada ya Watendaji Wakuu wa Kampuni Binafsi nchini (CEO,s RoundTable) kutoa matangazo ya kufanya mdahalo na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu ya kuwania urais, ili kuwapima kupitia mjadala huo ambao pamoja na mambo mengine ungejadili maslahi mapana yanayohusu uchumi, chama hicho kimepiga marufuku wanachama wake hao kujihusisha katika midahalo yoyote ile.
Kabla ya kupigwa marufuku, matangazo yaliyokuwa yakitolewa...
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
Waliokatwa kuwania ubunge, udiwani CCM Singida wakimbilia Chadema
Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya chama hicho kuhamwa na Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai aliyehamia CHADEMA.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KURA za maoni nafasi ya udiwani,ubunge wa viti maalum na ule wa majimbo CCM mkoani Singida, zimeacha malalamiko na maumivu mengi,ambayo ni pamoja na kuhamwa na wananchama wake wengi akiwemo Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai na...