Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani 5 CCM, mmoja CUF wavuliwa udiwani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Kagera, imewavua madiwani sita nyadhifa zao baada ya kubainika kuwa, walishindwa kuhudhuria vikao vya kikanuni vya halmashauri ya manispaa hiyo, hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa madiwani. Madiwani hao waliovuliwa nyadhifa zao jana, pia wametakiwa kulipa gharama za kesi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SITA WAVULIWA UDIWANI NA MAHAKAMA.

Madiwani sita wa manispaa ya Bukoba wamevuliwa udiwani na mahakama. Madiwani hao ni Samuel Luangisa (CCM) wa Kitendagulo, Yusuf Ngaiza (CCM) wa Kashai, Dauda Kalumuna(CCM) wa Ijuganyondo, Deus Mutakyawa (CCM) wa Nyanga, Mulungi Kichwabuta viti maalum CCM na Rabia  Badru viti maalum(CUF).

 

11 years ago

Mwananchi

Sita wavuliwa udiwani Bukoba

>Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimepoteza madiwani watano na CUF ikipoteza mmoja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kagera kutengua udiwani katika kata sita Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, ikieleza kuwa madiwani wamepoteza sifa kwa kushindwa kuhudhuria vikao halali vilivyoitishwa kisheria.

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI WA CUF WILAYANI URAMBO WASHIRIKI MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE

 Madiwani wa Chama cha CUF,wilayani Urambo wakimpokea kwa bashasha kubwa katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwasili katika wilaya ya Urambo,mapema leo akitokea wilayani Sikonge.Shoto ni Diwani wa CUF,Mh.Kandola Nyanda wa kata ya Nsenda na kati ni Diwani wa CUF,Kata ya Usoke,Mh.Kadada Mohamed,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya elimu,afya na maji katika halmashauri ya Urambo mkoani Tabora.Pichani nyuma ya Kinana ni Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF yalia rafu chaguzi za udiwani

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelaani matumizi makubwa ya nguvu za dola zisizo halali wakati wa chaguzi mbalimbali  za  madiwani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Naibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wa CUF wazua tafrani Tanga

Madiwani wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiwa na wafuasi wa chama hicho, jana walivamia mara mbili ukumbi wa ofisi za Mipango Miji ya Jiji la Tanga na kukitawanya kikao cha Kamati ya Fedha na Uongozi kilichokuwa kikiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji hilo, Omar Guled.

 

9 years ago

Vijimambo

WAGOMBEA UWAKILISHI NA UDIWANI KWA TIKETI YA CHAMA CHA CUF WAFIKA OFISI ZA ZEC KUCHUKUA FOMU

Baadhi ya wagombea wa Uwakilishi kwa Cuf wa wilaya ya Mjini, Unguja wakiwa katika ofisi wa tume ya Tume Uchaguzi Zanzibar kuchukua fomu kuomba uteuzi.. Mmoja wa wagombea Uwakilishi kwa tiketi ya CUF akitia saini kitabu cha kupokea fomu kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2015  Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Chama cha wananchi CUF .   Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF AWAPA SOMO WALIOONYESHA NIA YA KUWANIA UBUNGE, UWAKILISHI NA UDIWANI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki. Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi wa CUF Omar Ali Shehe akizungumza katika mkutano na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki.
Baadhi ya wagombea Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF Unguja wakijitokeza kwenye mkutano huo (Picha na Salmin Said, OMKR)

      Na: Hassan Hamad, OMKR 

Katibu Mkuu wa Chama Cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wapigwa, CCM yapeta udiwani

>Wabunge wawili, mmoja wa CCM na mwingine wa Chadema, jana walikula vichapo walipokuwa katika harakati za uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika katika kata 27 nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yatambulisha wagombea udiwani, ubunge

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewatambulisha wagombea udiwani na ubunge katika Manispaa ya Bukoba, huku aliyekuwa meya wa manispaa hiyo, Dk Anatory Amani akiachwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani