Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SITA WAVULIWA UDIWANI NA MAHAKAMA.

Madiwani sita wa manispaa ya Bukoba wamevuliwa udiwani na mahakama. Madiwani hao ni Samuel Luangisa (CCM) wa Kitendagulo, Yusuf Ngaiza (CCM) wa Kashai, Dauda Kalumuna(CCM) wa Ijuganyondo, Deus Mutakyawa (CCM) wa Nyanga, Mulungi Kichwabuta viti maalum CCM na Rabia  Badru viti maalum(CUF).

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sita wavuliwa udiwani Bukoba

>Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimepoteza madiwani watano na CUF ikipoteza mmoja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kagera kutengua udiwani katika kata sita Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, ikieleza kuwa madiwani wamepoteza sifa kwa kushindwa kuhudhuria vikao halali vilivyoitishwa kisheria.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani 5 CCM, mmoja CUF wavuliwa udiwani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Kagera, imewavua madiwani sita nyadhifa zao baada ya kubainika kuwa, walishindwa kuhudhuria vikao vya kikanuni vya halmashauri ya manispaa hiyo, hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa madiwani. Madiwani hao waliovuliwa nyadhifa zao jana, pia wametakiwa kulipa gharama za kesi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yawahukumu watu Sita kunyongwa hadi kufa

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewahukumu kunyongwa hadi kufa  washtakiwa sita  katika kesi ya mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB.

 

11 years ago

Tanzania Daima

18 wavuliwa uchungaji Moravian

ASKOFU wa Kanisa la Moravian Tanzania, Jimbo la Kusini, Dk. Lusekelo Mwakafwila, amewavua uchungaji waamini 18 wa kanisa hilo baada ya kuridhika kwamba walikaidi uamuzi halali wa Sinodi na kufanya...

 

11 years ago

GPL

DK KITILA, MWIGAMBA WAVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Dk.Kitila Mkumbo aliyetimuliwa uanachama Chadema. Samson Mwigamba ambaye naye amevuliwa uanachama wa Chadema. KAMATI Kuu ya Chadema iliyokutana Januari 3-4, 2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden, jijini Dar es Salaam imeamua kuwavua uanachama Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kuanzia jana. Maamuzi hayo ni baada ya kunasa mawasiliano mbalimbali ya Zitto Kabwe na washirika wake akiwemo anayejulikana kwa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

WALIOTUHUMIWA MAMLUKI CHADEMA WAVULIWA UONGOZI.


Na Bryceson Mathias, Kilosa.NGUVU ya Umma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Ruaha, Jimbo la Mikumi, Wilaya ya Kilosa, Morogoro, wamewavua Uongozi waliokuwa Viongozi wao na kuweka Kamati ya Muda (Task Force), kwa madai ya kuwa Mamluki ndani ya Chama chao.
Waliovuliwa Uongozi na kubaki na Uanachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kata, George Banda, Katibu, Ally Mponda, Katibu Mwenezi, William Temu, Mweka Hazina, Aurelia Mnunga, na Mjumbe wa Kamati Tendaji, Mwalimu...

 

10 years ago

Michuzi

Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini

Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.
Timu itakayoongoza kundi itacheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2016/2017 wakati ya mwisho katika kila kundi itarudi kucheza Ligi ya Mkoa wake kwa msimu wa 2016/2017. Makundi ya SDL ni kama ifuatavyo; Kundi A ni...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani