WALIOTUHUMIWA MAMLUKI CHADEMA WAVULIWA UONGOZI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-TBTtHJXa-xQ/VaBsK2GlGTI/AAAAAAAATIA/54nL_gbOBvo/s72-c/10406768_847430768637571_4306938687360913185_n.jpg)
Na Bryceson Mathias, Kilosa.NGUVU ya Umma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Ruaha, Jimbo la Mikumi, Wilaya ya Kilosa, Morogoro, wamewavua Uongozi waliokuwa Viongozi wao na kuweka Kamati ya Muda (Task Force), kwa madai ya kuwa Mamluki ndani ya Chama chao.
Waliovuliwa Uongozi na kubaki na Uanachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kata, George Banda, Katibu, Ally Mponda, Katibu Mwenezi, William Temu, Mweka Hazina, Aurelia Mnunga, na Mjumbe wa Kamati Tendaji, Mwalimu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
DK KITILA, MWIGAMBA WAVULIWA UANACHAMA CHADEMA
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
CHADEMA Pwani wawaruka ‘mamluki’
WAJUMBE wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani, wamelikana kundi la watu waliojitokeza hivi karibuni wakijiita viongozi wa chama hicho na kufanya mikutano yenye...
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Profesa Safari: Chadema haijamaliza mamluki
![Profesa Abdallah Safari](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Profesa-Abdallah-Safari.jpg)
Profesa Abdallah Safari
NA ELIZABETH MJATTA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Profesa Abdallah Safari, amesema hana uhakika kama wameweza kumaliza mamluki ndani ya chama hicho, bali wamejitahidi kuwadhibiti kupitia Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni.
Akizungumza na MTANZANIA Jumapili katika mahojiano maalumu, Profesa Safari ambaye aliwafananisha mamluki na kansa, alisema wanaweza kuharibu chama endapo watapata mwanya wa kufahamu mambo muhimu ya chama.
“Mamluki ni watu wabaya,...
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Viongozi 175 waliotuhumiwa kwa ufisadi watajwa
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
CHADEMA yahimiza wanachama kugombea uongozi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kimewahimiza wanachama wake kugombea uongozi katika nafasi za udiwani na uenyeviti wa serikali za mitaa katika chaguzi zijazo ili kuwaondolea kero...
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Mbowe avunja uongozi Chadema Ukonga, Ilala
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Lissu akerwa na uongozi wa Chadema Singida kwa kumdodesha
Mwenyekiti CHADEMA jimbo la kanda ya kati, Tundu Lissu, akihutubia wana CHADEMA na baadhi ya wakazi wa manispaa ya Singida kwenye viwanja vya Peoples mjini Singida.Tundu pamoja na mambo mengine, amewahimiza wananchi kuikataa rasimu ya katiba mpya kwa madai kwamba imechakachuliwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
IDADI ndogo ya wanachama na wasio wanachama wa CHADEMA waliohudhuria mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya mwenyekiti wa jimbo la kanda ya kati, Tundu Lissu, kuzungumza nao,...
10 years ago
Dewji Blog09 Aug
Uongozi wa CCM Arusha, Nangole na Kadogoo watimukia CHADEMA
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kuhamia rasmi chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha Isaac Joseph Maarufu kama Kadogoo. (Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Chama cha Mapinduzi kimeendelea kupoteza wanachama wake mara baada Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Onesmo Nangole pamoja na Katibu Mwenezi wa Mkoa...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Wanaomwamini Lowassa wampe uongozi wa Chadema siyo Tanzania
MOJAWAPO ya mambo ya kutisha zaidi kutoka katika historia ya kisiasa ya nchi yetu ni hii hamasa a
Lula wa Ndali Mwananzela