Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Safari: Chadema haijamaliza mamluki

Profesa Abdallah Safari

Profesa Abdallah Safari

NA ELIZABETH MJATTA

MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Profesa Abdallah Safari, amesema hana uhakika kama wameweza kumaliza mamluki ndani ya chama hicho, bali wamejitahidi kuwadhibiti kupitia Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni.

Akizungumza na MTANZANIA Jumapili katika mahojiano maalumu, Profesa Safari ambaye aliwafananisha mamluki na kansa, alisema wanaweza kuharibu chama endapo watapata mwanya wa kufahamu mambo muhimu ya chama.

“Mamluki ni watu wabaya,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI UPINZANI 2015: Profesa Abdallah Safari: Makamu Mwenyekiti Chadema

>Profesa Abdallah Safari ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wakili wa kujitegemea Tanzania. Alizaliwa Juni 3, 1951, katika Kata ya Ngamiani, Tanga (anatimiza miaka 64 Juni).

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Pwani wawaruka ‘mamluki’

WAJUMBE wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani, wamelikana kundi la watu waliojitokeza hivi karibuni wakijiita viongozi wa chama hicho na kufanya mikutano yenye...

 

10 years ago

Vijimambo

WALIOTUHUMIWA MAMLUKI CHADEMA WAVULIWA UONGOZI.


Na Bryceson Mathias, Kilosa.NGUVU ya Umma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Ruaha, Jimbo la Mikumi, Wilaya ya Kilosa, Morogoro, wamewavua Uongozi waliokuwa Viongozi wao na kuweka Kamati ya Muda (Task Force), kwa madai ya kuwa Mamluki ndani ya Chama chao.
Waliovuliwa Uongozi na kubaki na Uanachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kata, George Banda, Katibu, Ally Mponda, Katibu Mwenezi, William Temu, Mweka Hazina, Aurelia Mnunga, na Mjumbe wa Kamati Tendaji, Mwalimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Safari ya maisha ya Profesa Mwandosya

Wahenga walishasema maisha ni safari ndefu. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba viongozi wengi wanaolitumikia taifa hili katika nyadhifa kubwa na tofauti wamepita katika hatua nyingi za maisha tangu kuzaliwa kwao.

 

11 years ago

Mwananchi

Marando, Profesa Safari watajwa Bunge la Katiba

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetaja majina ya wanachama wake wanne yaliyopelekwa wa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuteuliwa kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM haijamaliza kukata, ikate na hawa

HATIMAYE CCM imekata kilichosema hakikatiki!

Yahya Msangi

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa ‘J’ awa kivutio mkutano wa Chadema

>Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule maarufu kwa jina la Profesa J, mwishoni mwa juma aligeuka kivutio kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema uliyofanyika kwenye viwanja vya Mbugani mkoani hapa baada ya kutumia njimbo zake kuwananga CCM.

 

9 years ago

Raia Mwema

Chadema, NCCR kumnufaisha Profesa Maghembe

HALI ya kuvurugana kati ya wagombea wawili wa vyama vya vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (

Paul Sarwatt

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani