AJALI YAUA MMOJA TARIME
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Juma (35), amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa baada ya basi la Zakaria Express lenye namba T 405 CLT lililokuwa likitoka Sirari kwenda Mwanza kuacha njia na kupinduka leo asubuhi huko Tarime mkoani Mara. Kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo, basi hilo lilikuwa likijaribu kukwepa lori pamoja na ng'ombe ndipo lilipoacha njia na kupinduka. Majeruhi wa ajali hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Ajali ya basi yaua mmoja, yajeruhi 46
NA ABDALLAH AMIRI, IGUNGA
MTU mmoja, amefariki dunia papo hapo na wengine 46 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya ALLY’S lenye namba za usajili T 560 AKW aina ya Scania, kupinduka katika Kijiji cha Igogo, Kata ya Nanga, Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora.
Ajali hiyo ilitokea jana, saa 12 alfajiri wakati basi hilo lilipokuwa likitoka wilayani Igunga kwenda jijini Mwanza.
Wakizungumza na MTANZANIA eneo la tukio baada ya ajali hiyo, mmoja wa abiria aliyenusurika, Emmanuel Julius (32),...
11 years ago
Michuzi15 Jul
AJALI YA MAPOROMOKO KILIMANJARO YAUA MMOJA
Shirika la Hifadhi za Taifa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-thgcWMkpG7HmAYGtfR1dE03bFayWd6RvNlORAOdVzIHFUKLA1MdkCShqOWqAC7TWcGrJOodES84PykPKz04sQ/AJALIJORDAN1.jpg?width=650)
AJALI YAUA MMOJA, 25 WAKIJERUHIWA NZEGA
10 years ago
Mtanzania16 Apr
Ajali nyingine yaua mmoja, yajeruhi 28
Na Thomas Murugwa, Tabora
BASI la Kampuni ya Air Jordan lenye namba za usajili T 650 AQZ lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Arusha, limepata ajali katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Kitangili, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi 28.
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jackline Liana, imemtaja aliyefariki dunia kwa jina moja la Emmanuel ambaye alikuwa ni fundi wa gari hilo.
Alisema sababu ya ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva ambaye jina...
11 years ago
Mwananchi03 May
Ajali ya mtumbwi yaua mmoja Kaskazini Pemba
11 years ago
Michuzi23 Jun
NEWS ALERT:AJALI YAUA MTU MMOJA IRINGA
Taarifa za awali zinaonesha kwamba dereva wa gari hilo jina lake bado halijapatikana ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtJihpQR6-iMTlgyfX1YjTA0YOJa1WEn5rRxrnUUJ1aig4S-oTNSVkrxsRMXrB-nMMaq6tEQIcczsAry082pJsVX/AJALI3.jpg?width=650)
AJALI YA BASI LA SIMBA MTOTO NA FUSO YAUA MMOJA
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-r5zu7FzQ0A8/VG5A9a2Zk7I/AAAAAAAAc8A/kikHMlNSxIQ/s72-c/tt.jpg)
MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-r5zu7FzQ0A8/VG5A9a2Zk7I/AAAAAAAAc8A/kikHMlNSxIQ/s1600/tt.jpg)
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...