KATIBA HAITAPATIKANA KWA MALUMBANO,MABISHANO WALA MAANDAMANO - KISABYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-71Zz7f_raxc/U-R3H6lyEJI/AAAAAAAF90Q/0QBAX0LOi14/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Akiongea na waandushi wa habari Ofisini kwake, NAIBU KATIBU MKUU TAIFA NA KATIBU WA BODI YA CHAMA (NRA), mhe HASSAN KISABYA ALMAS, amewaonya viongozi wenzake wa kisiasa kuacha malumbano na badala yake wajikite kuhakikisha Taifa linapata katiba,
Mhe Kisabya alisema, "mpaka sasa wajumbe wa bunge wanasiasa wamekuwa wakijadili nafasi za kisiasa za utawala na kusahau kuwa kuna mambo mazuri muhimu yanayohusu wananchi"Akitoa mfano kuwa suala la idadi ya SERIKALI ni jambo la kuamua lakini masuala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
DC: Katiba haitapatikana bila maridhiano
MKUU wa Wilaya ya Kongwa (DC), mkoani Dodoma, Alfred Msovella, amesema kamwe katiba mpya haiwezi kupatikana bila kuwepo na maridhiano ya kweli kwani katiba ni mali ya wananchi na siyo...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Malumbano haya Mchakato wa Katiba hayatusaidii
5 years ago
BBCSwahili12 May
Kwa nini Trump na Obama wameanza malumbano mapya kuhusu Flynn?
9 years ago
Bongo Movies06 Jan
Kutokana na Malumbano Yao Mitandaoni, Mzee Yusuf Asema Haya Kwa Wake Zake
Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa Mzee Yusuf,kumekuwa na malumbano ya mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii kati ya wake zake wawili Leila na Chiku,Mzee Yusuf amesema hafurahishi na malumbano hayo…
‘’Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu kuwaaambia sijui hawa wake zangu wananionaje ,pengine hawajui kuwa mimi ni mume wao hawanipi heshima yangu na hasa huyo anayetaka kufanya mambo ya vituko,binafsi sipendi na huwa sifurahii na najaribu kuwaasa tena kwenye Instagram huwa nawaambia waangalie...
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Mnyika: Chadema tunajiandaa na maandamano kupinga Bunge la Katiba
![John Mnyika](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/John-Mnyika.jpg)
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Michael Sarungi na Grace Shitundu, Dar es Salaama
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya maandamano ya kupinga vikao vya Bunge Maalamu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.
Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) kumuagiza Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, kurudi katika meza ya mazungumzo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kunusuru mchakato wa Katiba...
10 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Polisi yazima maandamano ya Chadema Dodoma, ni ya kupinga kuendelea Bunge la Katiba
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Mabishano ya kisiasa yaua Tarime
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Simba Chawene awataka Watanzania kuachwa kuingia barabarani kufanya maandamano ya kupinga mchakato wa Katiba
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Simba Chawene akichangia mada bungeni mjini Dodoma. (Picha na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma).
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. George Simba Chawene amesikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya Wajumbe walioko nje ya bunge hilo kuhusiana na uhalali wa bunge hilo lililoko Kisheria.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akichangia mada katika mjadala ndani ya bunge hilo huku akisisitiza kuwa huo ni upotoshwaji...