Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMBAZI LINALOUA WATU LAFUNGIWA KAZI

Stori: Mwandishi Wetu, TARIME
LILE jambazi linaloua watu wasio na hatia Tarime, Mara lipo katika wakati mgumu kufuatia wananchi wa wilayani humo kumfungia kazi kwa kumsaka licha ya Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu kutuma askari wake kwa ajili ya kumsaka. Kwa mujibu wa chanzo chetu Tarime, wananchi wamesema wamechoka kuona mdunguaji huyo anaendelea kutamba kwa kutoa roho za watu kama ninja. “Wananchi wengi hapa Tarime...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Baba hakuwa jambazi, kazi yake imemponza'

SAKATA la kuuawa majambazi wanne jijini Arusha, mwishoni mwa wiki iliyopita, limeingia katika sura mpya. Hali hiyo inatokana na ndugu wa marehemu Japhet Kutingala (48), ambaye ni miongoni mwa watu hao wanne waliouawa na polisi, kuiomba polisi kufanya kazi zake kwa umakini ili kuepusha madhara kwa watu wengine wasio na hati kama ndugu yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wauawa Kiteto, Mtwara jambazi laua polisi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Hifadhi ya Embroi Murtangosi, wilayani Kiteto mkoani Manyara, imefikia 10.

 

5 years ago

Michuzi

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi ni jinamizi linaloua wengi

Inakisiwa dola Trilioni 1 huporwa kutoka kwa nchi maskini kila mwaka huku maisha ya mamilioni ya watu yakihatarishwa

 

10 years ago

Vijimambo

Unawaambia nini watu wanaodharau kazi za watu?

Kila binadamu ananjia zake za kutafuta ridhiki ili aweze kuishi na kupata mahitaji yake muhimu,kuna binadamu ambao wao hujiona ni bora kuliko wengine mpaka kufika hatua ya kuwadharau na kuwapuuza watu wa kipato cha chini,wanasahau kuwa maisha ni kutegemeana huyu asipofanya kazi ya kuuza mkaa yeye anaweza kushindwa kula sababu ili ale huenda mkaa ungesaidia kupika.huyu asipozibua vyoo kesho wewe utashindwa kutumia choo chako ulichokijenga kwa gharama kubwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Twitter kuwafuta kazi watu 336

Mtandao wa Twitter umesema kuwa unapunguza kazi 336 ikiwa ni asilimia 8 ya ajira zote duniani za mtandao huo kama mpango wa kuimarisha biashara yake.

 

10 years ago

Bongo5

Je wajua kwanini watu hufukuzwa kazi?

Sio utani unaposikia kuna suala la kufukuzwa kazi kwani inakupunguzia ujasiri wako binafsi kwa familia yako, mke wako, watoto wako na hata jamii inayokuzunguka. Vile vile inaweza ikawa ni kitu cha kukufanya ujitambue zaidi na kujua kitu gani cha kufanya ingawa si rahisi, kwa urahisi ni kwamba kazi ilifikia mahali kwamba si ya kwako tena. […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanyama wafukuzisha kazi watu Australia

Watu 10 wafukuzwa kazi kwa kosa la kutumia wanyama hai, kutoa mafunzo.

 

11 years ago

Mwananchi

AJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 za kazi TBS

Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani