Je wajua kwanini watu hufukuzwa kazi?
Sio utani unaposikia kuna suala la kufukuzwa kazi kwani inakupunguzia ujasiri wako binafsi kwa familia yako, mke wako, watoto wako na hata jamii inayokuzunguka. Vile vile inaweza ikawa ni kitu cha kukufanya ujitambue zaidi na kujua kitu gani cha kufanya ingawa si rahisi, kwa urahisi ni kwamba kazi ilifikia mahali kwamba si ya kwako tena. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Kwanini watu hawapendi kupiga kura?
TUMESHUHUDIAuchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa na...
10 years ago
Vijimambo19 Feb
Unawaambia nini watu wanaodharau kazi za watu?
![](https://scontent-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/p480x480/10994157_1153232761357807_2668530491741378799_n.jpg?oh=868eebb894c945c47af2201eb7f07ed2&oe=554B33B0)
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya Corona: Kwanini watu wanaamini ni dhana tu?
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi vya corona: Kwanini bado watu wanakusanyika kuabudu?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bwOVBryZNgIjkIy5S2DhBLbgMDgosaIvN3T0FK58iQo1q78NvE5KLE5RESuVOzdvgoepywQC9W19ACRMM93Iec0/Couple_0.jpg?width=650)
MKE WA MTU SUMU, KWANINI URUHUSU WATU WAMPE MAZIWA?
9 years ago
Bongo501 Dec
Weusi waeleza sababu za kwanini mwaka huu hawajatoa kazi ya kundi
![Weusi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Weusi-300x194.jpg)
Kundi la Weusi linaloundwa na Nikki Wa Pili, G-Nako, Joh Makini, Lord Eyez na Bonta limeeleza sababu za kwanini mwaka huu hawajatoa wimbo wowote wa kundi, mbali na single za mmoja mmoja ambazo hata hivyo kila mmoja zimemsaidia kumuweka pazuri zaidi.
Baadhi ya nyimbo walizotoa Weusi kama msanii mmoja mmoja mwaka huu ni kama Joh Makini ametoa Nusu Nusu na Don’t Bother, Nikki Wa Pili ametoa Safari na Baba Swalehe, G- Nako ametoa Laini na anatarajia kuachia wimbo mpya Original, Bonta pia...
10 years ago
VijimamboKITUO CHA BASI HAPO FERRY MAGOGONI KWANINI HAKIFANYI KAZI NA WAKATI KIMEKWISHA
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Ni kwanini watu katika baadhi ya mataifa wanatumia barakoa huku mengine hawatumii?
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Hii Ndio Show na Kauli ya Mwisho ya Sharo, Sikujua Kwanini Alitaka Tufanye Kazi na Stanbakora-KITALE
Show ya mwisho kufanya na marehemu sharo ilikuwa mwembe yanga show ya DTV nakumbuka ilikuwa inaitwa "NI WAKATI WAKO" baada ya hapo kesho asubuhi tukaenda tanga kushuti movie yetu hii (Safara Hasara) ambayo 20/04/2015 ndio inatoka tukamaliza kushuti salama salimini tukarudi DAR usiku napigiwa simu na marehemu sajuki anataka niende kwenye show yake iringa CHANGIA SAJUKI tarehe 25/11/2012 akabaki kwa sababu alikuwa katoka magomeni kaamia sinza ana siku mbili bado mgeni sinza basi mimi nikafanya...