MKE WA MTU SUMU, KWANINI URUHUSU WATU WAMPE MAZIWA?
![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bwOVBryZNgIjkIy5S2DhBLbgMDgosaIvN3T0FK58iQo1q78NvE5KLE5RESuVOzdvgoepywQC9W19ACRMM93Iec0/Couple_0.jpg?width=650)
BILA shaka mpenzi msomaji wa safu hii uko vizuri na ndiyo tunaanza mwaka mpya, 2015 pamoja. Najua kuna malengo ambayo ulipanga kuyafanya mwaka 2014 hayakutimia, yapange upya na hakika kwa uwezo wa Mungu utafanikiwa. Kama wewe na mpenzi wako mlipanga kufikia hatua ya kutambulishana nyumbani kwa wazazi, kuvalishana pete au hata kuoana na hamjafanikiwa basi mwaka mpya ndiyo huu, bado mnayo nafasi ya kupanga siku au mwezi ambao...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4wc48-rReGE76qrFHy5qUTEiGom15oc5ZZ9pFFg47HZk3-xqkgUZdNa5gVhpsKiY5F*IYhuXJkmXF0hEKj7u51/12.jpg?width=650)
KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El9ADcWbV0*s9hceHmhBQ3*xYquB-vEut1oYBy50QwzngRzjhALEQ*0IkLK3eVEZaL7Wl8a7tq8BsspzFwxMnDF5/f.jpg?width=650)
KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU-2
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eZvj5_SV0k8/XtPkDSVsHII/AAAAAAALsKg/C6QZwhQDGzAy3gHq1V4ut4P3qHC3fCwiACLcBGAsYHQ/s72-c/eb310d63-56b3-49ac-8c35-84c5f2a0675d.jpg)
DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA
WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.
DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...
10 years ago
Habarileo07 Jan
8 hoi kwa kunywa maziwa yenye sumu
WATU wanane wa familia tatu tofauti, wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malkia wa Ulimwengu Puma wilayani Ikungi mkoani hapa baada ya kunywa maziwa yanayodhaniwa kuwa na sumu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7l-wHj5OnnlF5cRYGvWkpSl4m9PC1BWWJURUBuG7NCe3C-dWORDwz6afU38SaEyBzCNWgziybt560lUa1j5zMqi/MYGODZ.jpg)
MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcIkwe79Xf*bMKoF4R9FbewQXeyINX6RzAGzhSuWOwPYDD5JgyVpjIVKOxRsXcX26sWJiOYVK9626gtBKHQVuzb2/mkewamtusumu.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Maziwa yanachochea mtu kupata vidonda vya tumbo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscbV7nfqwC9klCF1xreZkHRIqD1Sv1qqvONwmOyh*NIKUZc5DV2wxmHREGThvthujDM77Q-5phL0fCYww7WUfwJO/nisheeda.jpg)
MUMEWA MTU SUMU HUKU KUTWA UNACHAT NAYE!
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Dee aeleza kwanini alijiondoa ‘Mtu Chee’