Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lapata wenyeviti wapya

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepata wenyeviti wapya wawili wa Bunge watakaosaidia na Spika na Naibu Spika kuongoza vikao vya Bunge ambao ni Mbunge wa Viti Maalumu, Lediana Mng’ong’o (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, Kidawa Hamis Saleh (CCM).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SITTA ATANGAZA MAJINA YA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

N a Magreth Kinabo ,Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Samwel Sitta leo (jana), ametangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa Kamati za bunge hilo.  Majina hayo yametangazwa na Mwenyekiti huyo  baada ya uchaguzi wa viiongozi hao uliofanyika  (jana) Machi 24 , mwaka  2014 mjini  Dodoma . Mwenyekiti ametangaza majina haya baada ya kuunda kamati hizo  jana kwa mujibu wa kanuni ya 54 (1) ya kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014 ambazo zimetungwa chini ya kifungu cha 26...

 

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti wapya mitaa wataka mishahara

WENYEVITI wa serikali za mitaa na wajumbe wao katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji wameapishwa jana kuanza kutumikia wananchi kulingana na nafasi zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lapata viongozi wa kamati

BUNGE Maalumu la Katiba jana lilipata wenyeviti na makamu wao kuongoza kamati 12 zilizoundwa kwa ajili ya kujadili rasimu ya pili ya Katiba. Kamati hizo ambazo zinajulikana kwa namba, ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Bunge la Iraq lapata spika mpya

Bunge nchini Iraq limemchagua spika mpya kama hatua ya kwanza ya kumaliza mzozo wa kisiasa

 

9 years ago

BBCSwahili

Bunge la Tanzania lapata spika mpya

Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania .Ndugai mwenye umri wa miaka 55 alijipatia thuluthi tatu ya kura zinazohitaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge kuchagua wenyeviti Kamati za Kudumu za Bunge

Uchaguzi wa kuziba nafasi tisa zilizoachwa wazi na wenyeviti na wajumbe wa Kamati za Bunge ambao wameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mawaziri, utaanza kufanyika kuanzia leo katika vikao vya kamati hizo vitakavyofanyika kwa wiki mbili.

 

10 years ago

Michuzi

Spika Makinda, Wenyeviti wa Bunge Watembelea Miradi ya NSSF Dar

Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi John Msemwa (mwenye kipaza sauti) akielezea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge walipo tembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni. Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi John Msemwa (mwenye kipaza sauti) akielezea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge walipo tembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni.
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge wakitembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni. Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27,WAPYA WAKIWEMO SHABANI KISU,PAUL MAKONDA,FREDRICK MWAKALEBELA


*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani.
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani