Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SITTA ATANGAZA MAJINA YA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

N a Magreth Kinabo ,Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Samwel Sitta leo (jana), ametangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa Kamati za bunge hilo.  Majina hayo yametangazwa na Mwenyekiti huyo  baada ya uchaguzi wa viiongozi hao uliofanyika  (jana) Machi 24 , mwaka  2014 mjini  Dodoma . Mwenyekiti ametangaza majina haya baada ya kuunda kamati hizo  jana kwa mujibu wa kanuni ya 54 (1) ya kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014 ambazo zimetungwa chini ya kifungu cha 26...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge kuchagua wenyeviti Kamati za Kudumu za Bunge

Uchaguzi wa kuziba nafasi tisa zilizoachwa wazi na wenyeviti na wajumbe wa Kamati za Bunge ambao wameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mawaziri, utaanza kufanyika kuanzia leo katika vikao vya kamati hizo vitakavyofanyika kwa wiki mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda atangaza vita na mameya, wenyeviti wanaokuza migogoro

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema ataanza kuwavua madaraka mameya na wenyeviti watakaobainika kukuza migogoro ndani ya halmashauri zao kwa kuwa inachangia kwa kiasi kikubwa kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

MH. SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. samuel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya uongozi ikiwa ni pamoja na kupitia ratiba ya Bunge hilo leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Yahya Khamis Hamad. Mwanasheria Mkuu wa serikali Mhe. Fredrick Werema akifafanua jambo wakati wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum leo. Kamati hiyo ilikaa kupitia ratiba nzima ya Bunge Maalum na jinsi litakavyoendelea na sura za rasimu ya katiba. Wajumbe wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba kuendelea — SITTA

2 (1)

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis  akizungumza na waandishi wa habari  jana (hawapo pichani) kuhusu  kuendelea kwa  Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti  wa Bunge hilo, Samuel Sitta   katika ukumbi wa mikutano  wa ofisi ndogo za Bunge  jijini  Dares Salaam.

3

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza  Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari jana  (hawapo pichani) kuhusu  kuendelea kwa  Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lapata wenyeviti wapya

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepata wenyeviti wapya wawili wa Bunge watakaosaidia na Spika na Naibu Spika kuongoza vikao vya Bunge ambao ni Mbunge wa Viti Maalumu, Lediana Mng’ong’o (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, Kidawa Hamis Saleh (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani