Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Iraq lapata spika mpya

Bunge nchini Iraq limemchagua spika mpya kama hatua ya kwanza ya kumaliza mzozo wa kisiasa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Bunge la Tanzania lapata spika mpya

Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania .Ndugai mwenye umri wa miaka 55 alijipatia thuluthi tatu ya kura zinazohitaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge la Iraq laidhinisha serikali mpya

Bunge la Iraq limeidhinisha serikali mpya itakayoshirikisha makundi muhimu nchini humo.

 

5 years ago

CCM Blog

SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN AHIMIZA UMOJA WA WAISLAMU DHIDI YA ISRAEL

Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya IsraelSpika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.Mohammad Baqer Qalibaf ametoa mwito huo katika mazungumzo yake ya simu na Spika wa Bunge la Uturuki, Mustafa Sentop ambapo wamezungumzia matukio ya eneo hili la Asia Magharibi.Amesema mataifa ya Kiislamu yanapaswa kushirikiana na kuunganisha nguvu zao ili yaweza njama chafu zinazopangwa na utawala haramu wa...

 

5 years ago

CCM Blog

SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN ATOA WITO WA KULIPA KIASI KWA MAREKANI

  Spika mpya wa Bunge la Iran Mohammad Ghalibaf amesema leo majadaliano yoyote na Marekani hayatokuwa na manufaa na badala yake mkakati wa Iran unapaswa kuwa wa kulipa kisasi na siyo mazungumzo. 
Ghalibaf, kamanda wa zamani wa kikosi cha anga katika jeshi la walinzi wa mapinduzi ametoa matamshi hayo alipokuwa akitoa hotuba ya kwanza mbele ya bunge la Iran . 

Spika huyo aliyechaguliwa hivi karibuni amesema ni lazima Iran ilenge kuondoa uwepo wa majeshi ya Marekani kwenye kanda hiyo na kulipa...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZ.......: JOB NDUGAI NDIYE SPIKA MPYA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Hatimaye Job Yustino Ndugai CCM amechaguliwa kuwa Spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 254 sawa na asilimia 70% ya kura zilizopigwa akifuatiwa na mgombea wa CHADEMA Goodluck Ole Medeye ambaye amepata kura 109.
Hata hivyo wagombea hao ambao walikuwa 7 kati ya 8 wameweza kutoa shukrani na pongezi kwa Ndugai wakisema anastahili na ndio maana akachaguliwa na kumtaka aongoze vyema bunge hilo.

 Job Ndugai ameibuka mshindi wa kiti cha Spika wa Bunge la...

 

11 years ago

Michuzi

Spika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lapata wenyeviti wapya

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepata wenyeviti wapya wawili wa Bunge watakaosaidia na Spika na Naibu Spika kuongoza vikao vya Bunge ambao ni Mbunge wa Viti Maalumu, Lediana Mng’ong’o (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, Kidawa Hamis Saleh (CCM).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lapata viongozi wa kamati

BUNGE Maalumu la Katiba jana lilipata wenyeviti na makamu wao kuongoza kamati 12 zilizoundwa kwa ajili ya kujadili rasimu ya pili ya Katiba. Kamati hizo ambazo zinajulikana kwa namba, ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani