SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN AHIMIZA UMOJA WA WAISLAMU DHIDI YA ISRAEL
Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.Mohammad Baqer Qalibaf ametoa mwito huo katika mazungumzo yake ya simu na Spika wa Bunge la Uturuki, Mustafa Sentop ambapo wamezungumzia matukio ya eneo hili la Asia Magharibi.Amesema mataifa ya Kiislamu yanapaswa kushirikiana na kuunganisha nguvu zao ili yaweza njama chafu zinazopangwa na utawala haramu wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-9lAVjCyYM84/XtOa3tsexpI/AAAAAAAC6c0/715H_zBA6lsu19WebtBQm0Vck4F1fBtowCLcBGAsYHQ/s72-c/4bsn31b8bbac671jjte_800C450.jpg)
SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN ATOA WITO WA KULIPA KIASI KWA MAREKANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-9lAVjCyYM84/XtOa3tsexpI/AAAAAAAC6c0/715H_zBA6lsu19WebtBQm0Vck4F1fBtowCLcBGAsYHQ/s400/4bsn31b8bbac671jjte_800C450.jpg)
Ghalibaf, kamanda wa zamani wa kikosi cha anga katika jeshi la walinzi wa mapinduzi ametoa matamshi hayo alipokuwa akitoa hotuba ya kwanza mbele ya bunge la Iran .
Spika huyo aliyechaguliwa hivi karibuni amesema ni lazima Iran ilenge kuondoa uwepo wa majeshi ya Marekani kwenye kanda hiyo na kulipa...
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Bunge la Tanzania lapata spika mpya
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Bunge la Iraq lapata spika mpya
5 years ago
MichuziTAASISI YA HAKI FURSA YAMUOMBA SPIKA WA BUNGE KUANDAA TUZO MAALUM KWA AJILI YA KUTAMBUA MCHANGO WA RAIS DK.MAGUFULI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Ofisa Mipango wa Taasisi ya Haki Fursa Kwagilwa Reuben (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi habari leo Mei 27 , 2020 jijini Dar es Salaam kuhusu umuhimu wa Rais Dk.John Magufuli kupewa tuzo maalumu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kupambana na janga la Corona nchini.Kushoto ni Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo Ntimi Charles na kulia ni Ofisa Ustawi wa Jamii wa taasisi hiyo Lwitiko Mwakikuti.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Haki Fursa Ntimi Charles (katikati) akisikiliza kwa...
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Iran yataka waislamu kunusuru hadhi ya Uislamu
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Y-LJTY2gBB0/Vkr8v6jnujI/AAAAAAAIGXM/Cw_-L8a8wgY/s72-c/NaibuSpikaNdundai.jpg)
BREAKING NYUZZZ.......: JOB NDUGAI NDIYE SPIKA MPYA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y-LJTY2gBB0/Vkr8v6jnujI/AAAAAAAIGXM/Cw_-L8a8wgY/s640/NaibuSpikaNdundai.jpg)
Hata hivyo wagombea hao ambao walikuwa 7 kati ya 8 wameweza kutoa shukrani na pongezi kwa Ndugai wakisema anastahili na ndio maana akachaguliwa na kumtaka aongoze vyema bunge hilo.
Job Ndugai ameibuka mshindi wa kiti cha Spika wa Bunge la...
11 years ago
MichuziSpika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tw5G9msem18/Veh1XS8l-5I/AAAAAAAH2J0/-RFTOBVvylI/s72-c/unnamed%2B%252857%2529.jpg)
Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-tw5G9msem18/Veh1XS8l-5I/AAAAAAAH2J0/-RFTOBVvylI/s640/unnamed%2B%252857%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-eGNlnB2NROI/Veh1ZIk_x7I/AAAAAAAH2J8/NIRgF3nRzDQ/s640/unnamed%2B%252856%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ABK3HgHOxZQ/Veh1a1GrqNI/AAAAAAAH2KE/HHAr0lQdHeg/s640/unnamed%2B%252855%2529.jpg)
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Iran:Marekani yapinga msimamo wa Israel
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10