SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN ATOA WITO WA KULIPA KIASI KWA MAREKANI

Spika mpya wa Bunge la Iran Mohammad Ghalibaf amesema leo majadaliano yoyote na Marekani hayatokuwa na manufaa na badala yake mkakati wa Iran unapaswa kuwa wa kulipa kisasi na siyo mazungumzo.
Ghalibaf, kamanda wa zamani wa kikosi cha anga katika jeshi la walinzi wa mapinduzi ametoa matamshi hayo alipokuwa akitoa hotuba ya kwanza mbele ya bunge la Iran .
Spika huyo aliyechaguliwa hivi karibuni amesema ni lazima Iran ilenge kuondoa uwepo wa majeshi ya Marekani kwenye kanda hiyo na kulipa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog30 May
SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN AHIMIZA UMOJA WA WAISLAMU DHIDI YA ISRAEL

10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Paul Ryan ateuliwa spika wa bunge Marekani
10 years ago
Michuzi
MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMBUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE


10 years ago
GPL
MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMPUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE
5 years ago
Michuzi
MSANII WA B0NG0 FLEVA ATOA NA WITO KWA WADAU
NA DENIS MLOWE, IRINGA
MSANII wa muziki wa bongo fleva anayekuja kwa kasi kutoka Nyanda za Juu Kusini mwenye makazi yake mkoani Iringa, Ezra Msiliova ' Eze Nice' ametoa wito kwa wadau wa muziki huo kuzipokea kwa nguvu zote nyimbo zake mbili anazotarajia kuziachia hivi karibuni.
Akizungumza na Mwanahabari, Eze Nice alisema kuwa nyimbo hizo mbili ni zawadi tosha kwa Rais John Magufuli na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa, Salim Abri 'Asas' kwani amezipa majina Magufuri na...
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Bunge la Iraq lapata spika mpya
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Bunge la Tanzania lapata spika mpya
9 years ago
Michuzi
WAZIRI WA KILIMO ATOA SAA 48 KWA KAMPUNI YA SPARKWAY LTD KULIPA BILLION 3.4 KWA WAKULIMA WA KOROSHO


11 years ago
Mwananchi11 Jun
Kwa kiasi kikubwa Bunge letu linastahili lawama