Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge linapochemka ndio raha yetu- Lissu

Bunge la 10, ambalo linamaliza kazi yake Julai 8 kabla ya kuvunjwa siku moja baadaye, lilikuwa na mengi, lakini mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu anasema kilichowafurahisha wapinzani ni wakati chombo hicho kinapochemka kutokana na hoja zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Suzy: Raha ya Mwanaume Adeke,Akivaa Kanzu Ndio Ananimaliza!!!

Mwigizaji wa  filamu  za hapa Bongo, Happy Nyatawe ‘Suzy’ amesema katika suala la uhusiano siku zote anampenda mwanaume anayejua kudeka.

Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Suzy alisema mwanaume anayejua kujidekeza ndiye mzuri lakini ambaye anajidai ni mgumu na kuleta masharti yeye siyo fani yake kabisa.

“Mwanaume mwenye masharti kama ugonjwa wa kisukari simtaki, mwanaume anayedeka ndiyo mpango mzima, halafu anayependa kuvaa kanzu hapo ndiyo atanimaliza kabisa,” alisema...

 

5 years ago

Michuzi

Ubora wa Mazingira yetu ndio Uhai na Ustawi Wetu – Zungu


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Wakaguzi wa Mazingira katika Siku ya Mazingira Duniani leo tarehe 05 Juni 2020. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akisoma hotuba kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 5, 2020 jijini Dodoma yaliyoambatana na ufungaji na utoaji vyeti kwa wakaguzi wa mazingira kutoka Mamlaka za Serikali za...

 

9 years ago

Bongo5

Kufanya kazi nzuri ndio siri ya mafanikio yetu — Navy Kenzo

Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika wamesema hawajakutana na changamoto za kunyimwa msaada wa connection kutoka kwa wasanii wenzao kama wasanii wengine wanavyodai kukutana na changamoto hizo. Wakizungumza na Bongo5 kwa pamoja hivi karibuni, Aika alisema uwezo wao pamoja na juhudi, zimefanya wasaidiwe kiurahisi. “Sisi tulifanya kile kinachohitajika,” alisema Aika. “Tulienda the […]

 

11 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu atikisa Bunge

 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Wajumbe wa Bunge la Katiba hawana sifa

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioteuliwa hivi karibuni wengi wao hawana sifa ya kuingia katika bunge hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu:Kuburuzwa ndani ya Bunge sasa basi

Mbunge wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema kuanzia sasa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hautakubali tena kuburuzwa katika kufikia uamuzi ndani ya bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu funga kazi , Bunge laweka rekodi mpya

>Hoja 22 za kupinga vifungu Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 zilizotolewa juzi na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu jana zilisababisha kikao cha 14 cha Bunge kuvunja rekodi ya kutumia muda mrefu baada ya kumalizika saa 6.15 usiku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani