Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lissu:Kuburuzwa ndani ya Bunge sasa basi

Mbunge wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema kuanzia sasa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hautakubali tena kuburuzwa katika kufikia uamuzi ndani ya bunge hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Bunge kuburuzwa mahakamani

Bunge

Bunge

NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA

HATIMA ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na vikao vyake imezidi kuwa shakani baada ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kutangaza kusudio la kwenda mahakamani kesho.

Uamuzi wa TLS umetolewa siku moja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema kutangaza mkakati mbadala wa kukwamua mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya.

TLS inataka kuiomba mahakama kuzuia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba hadi muafaka wa taifa utakapopatikana ili...

 

11 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu atikisa Bunge

 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

5 years ago

Michuzi

HADI SASA TUMEWEZA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA NDANI KWA NDANI YA CORONA-WAZIRI UMMY

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto, Ummy Mwalimu, akieleza jambo, wakati akiongea na Waandishi wa Habari juu ya mwenendo wa ugonjwa wa Corona (COVID-19) Jijini Dodoma.



Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula wakifuatilia neno kutoka kwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (hayupo kwenye picha, wakati akiongea na Waandishi wa Habari juu ya mwenendo wa ugonjwa wa Corona...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge linapochemka ndio raha yetu- Lissu

Bunge la 10, ambalo linamaliza kazi yake Julai 8 kabla ya kuvunjwa siku moja baadaye, lilikuwa na mengi, lakini mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu anasema kilichowafurahisha wapinzani ni wakati chombo hicho kinapochemka kutokana na hoja zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Wajumbe wa Bunge la Katiba hawana sifa

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioteuliwa hivi karibuni wengi wao hawana sifa ya kuingia katika bunge hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu funga kazi , Bunge laweka rekodi mpya

>Hoja 22 za kupinga vifungu Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 zilizotolewa juzi na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu jana zilisababisha kikao cha 14 cha Bunge kuvunja rekodi ya kutumia muda mrefu baada ya kumalizika saa 6.15 usiku.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Uharibifu wa barabara sasa basi’

Kituo kipya cha mzani cha Vigwaza kilichopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, kitakachoanza kutumika hivi karibuni kinatarajiwa kuwa mwarobaini wa uharibufu wa barabara unaotokana na madereva hasa wa malori kuzidisha mizigo na kupelekea baadhi ya barabara kuharibikia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani