Bunge kuburuzwa mahakamani
Bunge
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA
HATIMA ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na vikao vyake imezidi kuwa shakani baada ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kutangaza kusudio la kwenda mahakamani kesho.
Uamuzi wa TLS umetolewa siku moja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema kutangaza mkakati mbadala wa kukwamua mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya.
TLS inataka kuiomba mahakama kuzuia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba hadi muafaka wa taifa utakapopatikana ili...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Serikali kuburuzwa mahakamani
ILIKWISHASEMWA na kufafanuliwa kwa kina; kwamba mkataba wa kitapeli wa miaka 20 kati ya kampuni y
Joseph Mihangwa
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Lissu:Kuburuzwa ndani ya Bunge sasa basi
10 years ago
Habarileo23 Aug
Bunge Maalum mahakamani
MWANDISHI wa Habari Said Kubenea amewasilisha ombi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiiomba mahakama itoe amri ya kusimamisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea Dodoma.
10 years ago
Habarileo19 Dec
IPTL, PAP zapinga Bunge mahakamani
KAMPUNI za Pan Africa Power Solution Tanzania Limited (PAP) na Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Harbinder Singh Sethi, wamefungua kesi ya kikatiba kupinga utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotolewa kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayodaiwa kuchotwa zaidi ya Sh bilioni 300.
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani
![Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Said-Arfi.jpg)
Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi
Na Elizabeth Hombo, Dodoma
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa mahakama juu ya uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya mwandishi wa habari, Said Kubenea chini ya wakili, Peter Kibatala kufungua kesi mahakamani kutaka Bunge la Katiba lisitishwe.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Bunge: Mtikila ruksa kwenda mahakamani
BAADA ya mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia kundi la vyama vya siasa, Mchungaji Christopher Mtikila, kutishia kufungua kesi katika mahakama ya kimataifa kuzuia vikao vya Bunge hilo, ameambiwa...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Hatutakubali kuburuzwa bungeni
10 years ago
GPLAISHA BUI KUBURUZWA KORTINI
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
CCWT: Wafugaji msikubali kuburuzwa
MWANASHERIA Mkuu wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Malema Christopher amewataka wafugaji kutokubali kuburuzwa na askari wa wanyamapori au watendaji wa kata wanaowageuza shamba la bibi kwa kuwatoza mamilioni ya...