Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano na Mh Tundu Lissu ndani ya Kilimanjaro Studio Feb 13, 2019

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

THE ONE MIC SHOW NDANI YA KILIMANJARO STUDIO


 One Mic akiweka mambo sawa kabla ya kipichi cha One Mic Show hakijaruka hewani siku ya Ijumaa Aug 21, 2015. One Mic  ndiye mwenyeji wa kipindi cha one mic show kinachoruka LIVE kila siku ya Ijumaa kutoka Kilimanjaro Studia kuanzia saa 2 usiku kwa saa ya Amerika ya Mashariki  Ally Badawi aka mjuu wa masai akijiweka tayari kwenye kipindi cha One Mic Show Ally Badawi akipata picha na wageni waalikwa Linda wa Motomoto Kitchen kutoka Delaware na Patrick Kajale kutoka DMV. Linda alizungumzia kazi...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA ATINGA NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO

 Balozi Liberata Mulamula akiwasili nje ya jengo lenye studio ya Kilimanjaro tayari kuongea LIVE katika kipindi cha Jukwaa langu kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku saa za Mashariki za Marekanui. anayemfungulia mlango ni Abdul Malik Balozi Liberata Mulamula akiingia ndani ya studio akiwa amesindikizwa makamu wa Rais wa Jumuiya ya DMV Bi. Harriet Shangarai (kushoto) ambaye pia ni Mkurugenzi wa studio hiyo, kulia ni Afisa Ubalozi Swahiba Mdeme na Abdul...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA KUAGANA NA WANADIASPORA LIVE NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO JUMATATU

JUKWAA LANGU kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group. Kipindi kipya kinachorushwa LIVE kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 kamili jioni (6:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.JUKWAA LANGU ni kipindi kiinachozungumzia mambo mbalimbali yanayotokea Duniani ikiwemo maswala ya siasa na kuangalia mstakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi na kupata fulsa ya kuongea na watu mbalimbali ndani na nje ya Marekani

 Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...

 

11 years ago

GPL

Tundu Lissu…

Tundu Lissu. Na Saleh Ally
Yanga damu aliyevuliwa viatu na mashabiki wa Simba SC
MMOJA wa wanasiasa machachari nchini ni Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amekuwa akitajwa karibu kila sehemu yanapozungumziwa masuala mbalimbali yanayohusiana na siasa hapa nchini kutokana na umaarufu alionao.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tundu Lissu awalipua mgambo

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu atikisa Bunge

 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wananchi mpuuzeni Tundu Lissu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea vitendo vya baadhi ya wabunge kuwakataza wananchi kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kwani tabia hiyo inadhoofisha juhudi za Serikali kupambana na umasikini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani