THE ONE MIC SHOW NDANI YA KILIMANJARO STUDIO
One Mic akiweka mambo sawa kabla ya kipichi cha One Mic Show hakijaruka hewani siku ya Ijumaa Aug 21, 2015. One Mic ndiye mwenyeji wa kipindi cha one mic show kinachoruka LIVE kila siku ya Ijumaa kutoka Kilimanjaro Studia kuanzia saa 2 usiku kwa saa ya Amerika ya Mashariki Ally Badawi aka mjuu wa masai akijiweka tayari kwenye kipindi cha One Mic Show Ally Badawi akipata picha na wageni waalikwa Linda wa Motomoto Kitchen kutoka Delaware na Patrick Kajale kutoka DMV. Linda alizungumzia kazi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo05 Sep
ONE MIC SHOW LIVE FROM KILIMANJARO STUDIO BELTSVILLE, MARYLAND
Broadcast live streaming video on Ustream
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA ATINGA NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO
5 years ago
CHADEMA Blog10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA KUAGANA NA WANADIASPORA LIVE NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO JUMATATU
Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...
9 years ago
Vijimambo06 Sep
DJ KACE AFRICAN MZUNGU ON ONE MIC SHOW RECORDED LIVE
TONIGHT - SATURDAY 5th,
The wait is over and finally the day is here. We start TAMASHA 2015 tonight at COCO CABANA - 2031 A UNIVERSITY BLVD. E, HYATTSVILLE, MD. 20783. Doors open from 9:00pm
Music by DJ KACE | DJ PIERRA | DJ BABU.
$20 @ the Door
For VIP tables,please call 301 938 6704.
10 years ago
VijimamboKILIMANJARO STUDIO YATEMBELEWA NA WAGENI
Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano siku ya Jumatatu July 27, 2015 ndani ya studio ya Kilimanjaro Beltsville, Maryland na mtangazaji wa mahiri wa Radio Mubelwa Bandio katika kipindi chake cha Jukwaa Langu kinachorushwa Live kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12jioni mpaka saa 2 usiku. Mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio akipata picha ya kumbu kumbu na Mhe. Balozi Amina Salum Ali ambaye alishika namba mbili katika kinyang'anyiro cha kubeba bendera ya CCM katika kiti cha Urais. Rose...
9 years ago
MichuziKILIMANJARO STUDIO INAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID, CHRISTMAS NA MWAKA MPYA
9 years ago
VijimamboReggae Time Sept 26 2015 toka Kilimanjaro Studio......Live performances
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
10 years ago
VijimamboMCHEZA SINEMA WA BONGO MOVI CHARLES MAGALI ATEMBELEA KILIMANJARO STUDIO, WASHINGTON, DC.