KILIMANJARO STUDIO YATEMBELEWA NA WAGENI
Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano siku ya Jumatatu July 27, 2015 ndani ya studio ya Kilimanjaro Beltsville, Maryland na mtangazaji wa mahiri wa Radio Mubelwa Bandio katika kipindi chake cha Jukwaa Langu kinachorushwa Live kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12jioni mpaka saa 2 usiku. Mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio akipata picha ya kumbu kumbu na Mhe. Balozi Amina Salum Ali ambaye alishika namba mbili katika kinyang'anyiro cha kubeba bendera ya CCM katika kiti cha Urais.
Rose...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTHE ONE MIC SHOW NDANI YA KILIMANJARO STUDIO
One Mic akiweka mambo sawa kabla ya kipichi cha One Mic Show hakijaruka hewani siku ya Ijumaa Aug 21, 2015. One Mic ndiye mwenyeji wa kipindi cha one mic show kinachoruka LIVE kila siku ya Ijumaa kutoka Kilimanjaro Studia kuanzia saa 2 usiku kwa saa ya Amerika ya Mashariki
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA ATINGA NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO
10 years ago
Vijimambo05 Sep
ONE MIC SHOW LIVE FROM KILIMANJARO STUDIO BELTSVILLE, MARYLAND
Broadcast live streaming video on Ustream
5 years ago
CHADEMA Blog
9 years ago
Michuzi
KILIMANJARO STUDIO INAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID, CHRISTMAS NA MWAKA MPYA



10 years ago
Vijimambo
Reggae Time Sept 26 2015 toka Kilimanjaro Studio......Live performances

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
10 years ago
VijimamboMCHEZA SINEMA WA BONGO MOVI CHARLES MAGALI ATEMBELEA KILIMANJARO STUDIO, WASHINGTON, DC.
10 years ago
Vijimambo
BALOZI LIBERATA MULAMULA KUAGANA NA WANADIASPORA LIVE NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO JUMATATU

Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...
5 years ago
Michuzi
HOSPITALI YA CCBRT YATEMBELEWA NA MAAFISA WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi, aliwapitisha katika maeneo kadha na vitengo tofauti katika hospitalini hiyo ili kujionea namna wanavyofanya kazi na kuwahudumia watanzania.
Hata hivyo Maafisa kutoka ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali hapa nchini wamefurahishwa na kazi tunazozifanywa ...