Bunge lisiturudishe enzi za chama kimoja
Katika hali ya kushangaza, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama imeishauri Serikali iandae muswada wa sheria ya kudhibiti maandamano kwa madai kwamba yanaathiri shughuli za kijamii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
‘chama kimoja, vyama vingi, chama cha mtu mmoja’
NINAANDIKA makala hii nikiwa na masikitiko makubwa mno.
Evarist Chahali
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Kumbe Aliens wamekuwepo enzi na enzi!
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Mpenzi msomaji wangu wiki iliyopita tuliona ni kwa jinsi gani hawa viumbe wa ajabu waishio angani wa Aliens walivyo na tabia zinazoaminika ni za majini japokuwa wana utofauti kidogo. Tuliona kuwa tofauti kubwa iliyopo kati ya Aliens na majini ni kwamba majini wana maumbile maalum na uwezo wa kujibadilisha japo wote wana uwezo wa kusafiri kwa kasi ya upepo. SASA ENDELEA…
Kama nilivyoeleza awali katika matoleo ya simulizi hii huko nyuma, kuna filamu na tamthiliya...
10 years ago
Michuzi18 Sep
CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA CHAIOMBA MAHAKAMA KUU KUWARUHUSU KUFUNGUA MAOMBI YENYE MWELEKEO WA KUPINGA BUNGE LA KATIBA
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam kuwaruhusu kufungua maombi yenye mwelekeo wa kupinga mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba unavyoendelea mjini Dodoma.
Wakili wa TLS Mpale Mpoki alilieleza jopo la majaji watatu linalioongozwa na Mwenyekiti Jaji Augustine Mwarija akisaidiana na Aloysius Mujulizi na Fauz Twaib kuwa kuna mambo kadhaa yanayobishaniwa ambayo yanahitaji Mahakama hiyo kuingilia na kutolea...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oOvo2emXnAg/U4Hgzo3RMzI/AAAAAAAFk5s/ccEmCMjoKFI/s72-c/unnamed+(18).jpg)
SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA KUFUNGUA SEMINA YA 24 YA CHAMA CHA MABUNGE WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA (CPA) KESHO, DAR ES SALAAM,
11 years ago
Habarileo28 Jun
Takwimu kilimo kukusanywa kituo kimoja
SERIKALI imeamua kuboresha ukusanyaji wa takwimu za sekta ya kilimo kwa kuwa na kituo kimoja kitakachosimamiwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Taifa (NBS) ili kuweza kuwa na takwimu zinazofanana zitakazosaidia nchi kupanga mipango inayowiana na mahitaji ya sekta hiyo.
10 years ago
Habarileo11 Apr
‘Kufuatilia chanzo kimoja hakutamaliza mauaji ya albino’
WAGANGA wa jadi wamesema serikali haijaweka nguvu za kutosha ya kupambana na watu wanaowaua wenye ulemavu wa ngozi (albino) kwa kuangalia chanzo kimoja tu cha mauaji kwa kuwafikiria waganga wa jadi.
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Afrika kuwa na kiwango kimoja cha bidhaa
NCHI za Afrika zipo mbioni kuwa na kiwango kimoja cha bidhaa ambazo wataweza kuziuza katika nchi za Ulaya na Marekani. Hayo yalibainika jana katika mkutano wa wataalam wa masuala ya...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Mahabusu wa kike, kiume wafungiwa chumba kimoja
WANANCHI wa Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamelaani kitendo cha Katibu Mtendaji wao, Anderson Yamaliha, kuwakamata wanaume watano, mwanamke mmoja na kuwafungia chumba kimoja, akidai...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9f6andB-rb8Uk7fWdGpwxlZFuhMdNyeDeAW7WxBaQZwcqtJD1VlYcqguRlvBrMJNvB-RGbA2IPfCMAqAsb2rrxj/q.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, SHETTA WADAIWA KULALA CHUMBA KIMOJA