Busta Rhymes aondoka kwenye label ya YMCMB
Busta Rhymes sio member wa YMCMB tena. Baada ya kukaa miaka miwili na label hiyo, rapper huyo mkongwe ameondoka Cash Money. Akiongea kwenye kituo cha SiriusXM cha ‘Sway in the Morning’, Bussa Buss amedai kuwa kuondoka kwake ni kutokana na kutooelewana katika masuala ya kiubunifu. Busta amesonga mbele na career yake na mapema mwezi huu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo529 Sep
Music: Busta Rhymes — Master Race
Wimbo mpya kutoka kwa Busta Rhymes unaitwa “Master Race” Producer Pharrell Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo508 Oct
Akon adai hajutii kuacha kumsainisha Drake kwenye label yake alipotambulishwa kwake mwaka 2005
Kama angemwelewa vyema, leo hii Drake angekuwa msanii wa Akon kupitia label yake ya Konvict Music, lakini hakushawishiwa na uwezo wake kipindi hicho. Ilikuwa ni mwaka 2005 pindi rapper wa Canada, Kardinal Offishall alimpompelekea Akon nyimbo za Drake kuona kama anaweza kumchukua. Hata hivyo Akon hakukikubali kipaji cha Drake kama alivyovutiwa na T-Pain na Lady […]
10 years ago
GPLMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA
Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014,Carolyn Bernard ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za  dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari.
10 years ago
Bongo505 Dec
Lil Wayne atishia kuondoka YMCMB, awalaumu kwa kuzuia kutoa album yake
Lil Wayne ameishutumu label yake ya Young Money (YMCMB) kwa kuzuia kutoa album yake ya ‘Tha Carter V’ na kutishia kuondoka kwenye label hiyo. Weezy ameandika tweet kama mvua za kulalamika, “Kwa mashabiki wangu wote, nataka wote mjue kwamba album yangu haitatoka na haijatoka kwasababu Baby (Bird Man) na Cash Money Rec wamekataa kuitoa”. Aliandika […]
9 years ago
Bongo520 Nov
Music: Gelly Wa Rhymes – Kontena

Msanii Gelly Wa Rhymes ameachia wimbo mpya unaitwa “Kontena”, Producer Teaz Villah
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo524 Jun
New Music: Gelly wa Rhymes- Trap Queen
Gelly wa Rhymes ameamua kuonesha uwezo wake wa kuchana kwenye ngoma hii Trap Queen. Isikilize. Related Tags:
11 years ago
Bongo529 Sep
New Video: Joslin ft Stopa Rhymes — Tesa Naye
Msanii Joslin akishirikisha na Stopa Rhymes ameachia video mpya wa wimbo wake ‘Tesa Naye’ iliyoongozwa na Numark Production.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania