CAITLYN JENNER AJITAMBURISHA RASMI KWA WANAWAKE TATA WENZAKE
![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXIIMr-qpvxsOURmL0fNff83FH7ZBmGVTCAFSoSYIq00-SlVXwwFp52Xmk344VUh6Ftx2uQ*dj-Aun7ZxKZNwpPB/wwww.jpg?width=650)
Baba wa Kufikia wa Kim Kardashian Bruce Jenner, Caitlyn Jenner. New York Marekani Baba wa Kufikia wa Kim Kardashian Bruce Jenner, ambaye kwa sasa amekuwa mwanamke akifahamika kwa jina la Caitlyn Jenner juzi kati alienda kukutana na wanawake tata wenzake ikiwa ni utamburisho rasmi toka aingie kwenye chama chao cha kutoka mwanaume na kuwa mwanamke. Utamburisho huo ulifanyika kwenye sherehe ya chakula cha usiku...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-0qOwtJU4Csc/VXBZdufQn8I/AAAAAAAAQC4/b4t_DOrgmgs/s72-c/caitlyn_jenner.jpg)
KRIS JENNER TO CAITLYN JENNER: WHY GET MARRIED AND HAVE KIDS?
![](http://2.bp.blogspot.com/-0qOwtJU4Csc/VXBZdufQn8I/AAAAAAAAQC4/b4t_DOrgmgs/s640/caitlyn_jenner.jpg)
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Caitlyn Jenner ni mwanamke mshawishi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vr8e9vI-HyOQbyxZorQtSnf55qv8M5gaV-Ve-FNMICg4f4OALN19DsF9N6J2S2WV7uUvYYnadTVbrkGj6HhzUa2H8X4X8EzY/caitlynjenner5600x800.jpg?width=650)
CAITLYN JENNER: UANAMKE UMENIACHISHA BIA
5 years ago
The Guardian08 Mar
Harry Redknapp and Caitlyn Jenner caught in charity support sting
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuDN8JcZXl30pnusjtGqWaze8VPyEe22F7-4NBtZT4EcQy*o0wtPlD2Tnb5QFf0zn6ZuyGIjkJ2pea6CuKMB5k*t/CAITLYN.jpg?width=650)
CAITLYN JENNER: SITATUMIA VIWANGO VYA BRUCE KATIKA GOLF
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet04 Apr
'KUWTK': Why Some People 'Feel Bad' For Caitlyn Jenner While Watching Old Episodes of the Show
11 years ago
GPLPROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE
11 years ago
Dewji Blog15 May
Proin Promotions yatangaza rasmi kudhamini Ligi ya mpira wa Miguu kwa Wanawake leo Jijini Dar
Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.
Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia saini katika mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi ya mpira...
10 years ago
Bongo Movies08 Jul
Riyama Awataka Wanawake Wenzake Kuitazama Filamu Hii Kwenye Mwezi Huu wa Mfungo
Kutoka Steps Entertainment ‘THE SECOND WIFE’ ni filamu nzuri ya mafundisho ya dini,inapatikana kwenye maduka yote ya steps entertainment Tanzania nzima pata nakala yako ujifunze kitu ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani kutana na Vicent Kigosi ‘Ray’, Riyama Ally na wengine wengi
Wanawake wenzangu kama bado hujaiona hii basi Naomba ukaitafute inapatikana madukani kote ili upate kujifunza subira na Uvumilivu pindi mwanaume anapo amua kufanya maamuzi magumu pia kwa kakazangu na baba zangu...