Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Camel Oil yaongoza kampuni za kizalendo

MATUMIZI ya mafuta ya petroli na dizeli yamezidi kuongezeka nchini huku kampuni ya Camel Oil ikiongoza kampuni za kizalendo kwa kuagiza kiasi kikubwa mwaka huu ikitokea nafasi ya saba mwaka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA SMART OIL YAANZA KUCHUKUA TAHADHALI YA KORONA BUKOBA.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Smart Ndg. Remigius Nshange maarufu Dkt. Remmy akionesha utayari na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, mara baada ya kupatiwa mafunzo kutoka kwa maafisa Afya.Afisa Afya Gabriel Zakaria kutoka Bukoba Manispaa akifundisha kwa vitendo namna ya kuosha mikono kwa sabuni wakati wa kuchukua tahadhali ya Ugonjwa wa Korona. Kituo cha Mafuta cha Smart Oil kilichopo Kibeta Bukoba Manispaa kama kilivyokutwa na Kamera yetu.

Wafanyakazi na wahudumu wa Kituo cha Mafuta...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Camel Fuels yawapa mitaji wajasiriamali 

KAMPUNI ya Camel Fuels Tanzania imewapa mikopo ya mitaji ya mitungi  ya gesi wajasiriamali wa kikundi cha Awareness Share Tanzania (Ashata), ili kuwawezesha kuboresha biashara zao. Hafla ya makabidhiano hayo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Raia wa Italia watiana moyo kwa nyimbo za kizalendo

Raia wa Italia watiana moyo kwa nyimbo za kizalendo wakiwasifu wahudumu wa afya wanaopambana kuokoa maisha ya watu

 

5 years ago

Bloomberg

Aramco Delays Oil Pricing Amid Saudi-Russia Row on Oil Cuts

Aramco Delays Oil Pricing Amid Saudi-Russia Row on Oil Cuts  BloombergView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Vijimambo

ZADIA YAUNGA MKONO MSIMAMO WA KIZALENDO WA MH. OTHMAN MASSOUD OTHMAN

TAARIFAAlipokuwa akizungumza kwenye kongamano maalum huko Zanzibar, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mh Othman Massoud Othman alielezea wajibu wa kila Mzanzabari wa kuutetea umoja wa Wazanzibar.Akifafanua kifungu cha 23 cha Katiba ya Zanzibar, Bw. Othman alielezea kuwa, mbali na Katiba hiyo kutoa haki sawa kwa Wazanzibari wote, pia inatoa wajibu kwa wananchi.Miongoni mwa wajibu wa kila Mzanzibari kwa mujibu wa Kifungu hicho, ni wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kudumisha Uhuru wa...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii. CHAMA Cha Wasanii wa uchoraji picha aina ya Tingatinga imeingia mkataba wa miaka tano (5) na kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited ya nchini Japan, kwa ajili ya kuwatafutia soko nchini Japan 
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. 
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...

 

10 years ago

Michuzi

MJASIRIAMALI UNAHITAJI KAMPUNI, FAHAMU KITU KIITWACHO “ MIKATABA KABLA YA KAMPUNI”.

Na  Bashir  Yakub.
Ni  jambo  la  kutia faraja  kuwa   vijana wengi  wamekuwa  wajasiriamali   na wanafanya  biashara  mbambali   katika    maeneo mbalimbali  ya  nchi. Wengine  biashara  ni  nzuri  na  wengine  wanalalamika  biashara  sio  nzuri. Kila  mtu  ana  muono wake   kuhusu  mwenendo  wa  biashara  zake. 
 Pamoja  na  hayo  ushahidi  wa  sayansi  ya  biashara  unathibitisha  kuwa  kwa  asilimia  zaidi  ya  70  suala  la biashara  kuwa  mbaya   au  nzuri  hutokana  na  mtu  mwenyewe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani