CBE YAENDESHA UTAFITI KUWASAIDIA MACHINGA KUTAMBULIWA RASMI
![](http://api.ning.com:80/files/Vl9kv5g9jpJoL83XJ1AqNJhR0UrzufXMjbtGycV*x35dvISydnJ*JMzUEBO3cIKV6b6vuuApRzjpPx4iBr1Clo9AYd2JikJ4/CBEPichana1.jpg?width=650)
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu utafiti wa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) unaofanywa na chuo hicho kwa kushirikiana na Shirika la Wafanyabiashara kutoka nchini Finland (FBMA) kwa lengo la kubaini fursa za biashara zilizopo , faida, changamoto na mchango wao katika maendeleo ya taifa pindi watakapoingizwa kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
CBE yawakumbuka wamachinga, yaendesha utafiti kuwasaidia kutambuliwa rasmi
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kuhusu utafiti wa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) unaofanywa na chuo hicho kwa kushirikiana na Shirika la Wafanyabiashara kutoka nchini Finland (FBMA) kwa lengo la kubaini fursa za biashara zilizopo , faida, changamoto na mchango wao katika maendeleo ya taifa pindi watakapoingizwa kwenye mfumo rasmi unaotambulika kisheria.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam ...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ckpoDkum7IU/U98PsdoX2AI/AAAAAAACmz8/BXyTU6nbpaE/s72-c/1+(2).jpg)
CBE YAENDESHA MAFUNZO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA 72 KUTOKA MIKOA MBALIMBALI JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-ckpoDkum7IU/U98PsdoX2AI/AAAAAAACmz8/BXyTU6nbpaE/s1600/1+(2).jpg)
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Bandari bubu tatu kutambuliwa rasmi
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
YMC yaendesha mafunzo ya siku mbili ya utafiti wa taaluma shule za msingi Manispaa ya Singida
Mratbu wa shirika la Uwezo mkoa wa Singida, Nason W.Nason, akitoa nasaha zake kwenye mafunzo yaliyohusu kufanywa kwa utafiti juu ya taaluma shule za msingi manispaa ya Singida.Wa pili kulia ni Kaimu Afisa Elimu shule za msingi manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda na (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa YMC mkoa wa Singida, Fidelis Yunde.
Kaimu Afisa Elimu manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda, akizungumza kwenye ufungaji wa mafunzo ya namna bora ya kufanya utafiti wa taaluma katika shule za...
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Ofisi ya Taifa ya Takwimu yaendesha mafunzo ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na Malaria jijini Moshi, Kilimanjaro
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Kinga, Dkt. Neema Rusibamayila kutoka Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii akiwahutubia washiriki wa mafunzo ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Malaria Tanzania wa mwaka 2015 yaliyofanyika leo Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akitoa maelezo ya awali wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Malaria Tanzania wa mwaka 2015 yaliyofanyika leo Moshi,...
5 years ago
Michuzi24 Jun
MCHIMBAJI MDOGO WA MADINI YA TANZANITE KUTAMBULIWA RASMI KUWA BILIONEA BAADA YA KUPATA MAWE MAWILI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 7.8
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/WhatsApp-Image-2020-06-24-at-10.41.08.jpeg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PHOTO-2020-06-24-09-40-50.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo Wizara inamtabua Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Bw. Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8. Katibu Mkuu amesema kuwa mchimbaji...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3gs8pK2Xuhs/Va-jC7z-rTI/AAAAAAAHrFU/caz7MHONI1Q/s72-c/UFUNGUZI%2B1.jpg)
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDESHA MAFUNZO YA UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO NA MALARIA TANZANIA, 2015 MOSHI, KILIMANJARO.
"Kutokana na umuhimu wa...
10 years ago
VijimamboCBE MBEYA RASMI KUJENGA CHUO IGANZO, WAKABIDHIANA MIKATABA NA WANANCHI.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-x7MBfqsCBao/VkoisdmLuvI/AAAAAAAIGRQ/thMJ709rplc/s72-c/7abc2eaa-6a26-4eb7-995e-78fdd34900a0.jpg)
ALHAJ ALI HASSA MWINYI MGENI RASMI MAHAFALI YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)
![](http://2.bp.blogspot.com/-x7MBfqsCBao/VkoisdmLuvI/AAAAAAAIGRQ/thMJ709rplc/s640/7abc2eaa-6a26-4eb7-995e-78fdd34900a0.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-9tM_0VU8TWU/Vkoiv7jhkDI/AAAAAAAIGRY/lhK9GiJK1Do/s640/a0ba7a04-d0e7-4da4-987c-f2ebc6d93d2a.jpg)