Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bandari bubu tatu kutambuliwa rasmi

Mkoa wa Tanga upo kwenye mchakato wa kurasimisha bandari bubu tatu ili zipandishwe hadhi na kufanya kazi chini uangalizi wake, tofauti na sasa zinatumika kupitisha biashara za magendo na wahamiaji haramu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TRA wakamata bidhaa bandari bubu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa mbalimbali zinazodaiwa kuingizwa au kutoka nchini kinyume cha taratibu. Aidha ilidaiwa kwamba bidhaa hizo nyingi zipo katika kiwango duni na hazifai kwa matumizi ya binadamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ailipua Serikali kuhusu bandari bubu nchini

Mwenyekiti wa Chacha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa uwepo wa bandari bubu zinazopitisha bidhaa kwa magendo kutoka nje ni miongoni mwa sababu zinazoua viwanda vya sukari hapa nchini.

 

10 years ago

GPL

CBE YAENDESHA UTAFITI KUWASAIDIA MACHINGA KUTAMBULIWA RASMI

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam  Prof. Emanuel Mjema (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu utafiti  wa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) unaofanywa na chuo hicho kwa kushirikiana  na  Shirika la Wafanyabiashara  kutoka nchini  Finland (FBMA)  kwa lengo la kubaini  fursa za biashara zilizopo , faida, changamoto  na mchango wao katika maendeleo ya taifa pindi watakapoingizwa kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

CBE yawakumbuka wamachinga, yaendesha utafiti kuwasaidia kutambuliwa rasmi

CBE -Picha na 1

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam  Prof. Emanuel Mjema  akitoa ufafanuzi kuhusu utafiti  wa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) unaofanywa na chuo hicho kwa kushirikiana  na  Shirika la Wafanyabiashara  kutoka nchini  Finland (FBMA)  kwa lengo la kubaini  fursa za biashara zilizopo , faida, changamoto  na mchango wao katika maendeleo ya taifa pindi watakapoingizwa kwenye mfumo rasmi unaotambulika kisheria.

CBE Picha na 2

Makamu Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam ...

 

5 years ago

Michuzi

MCHIMBAJI MDOGO WA MADINI YA TANZANITE KUTAMBULIWA RASMI KUWA BILIONEA BAADA YA KUPATA MAWE MAWILI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 7.8

Mawe makubwa mawili ya Tanzanite moja lina kilo 9.2 ambalo lina thamani ya shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.Afisa Madini akionyesha moja ya jiwe la Tanzanite lilipatikana
 Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema  kuwa leo Wizara inamtabua Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Bw. Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata  mawe  makubwa mawili yenye thamani ya shilingi  bilioni 7.8. Katibu Mkuu amesema kuwa mchimbaji...

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA BANDARI 2014 MJINI MTWARA YAFUNGLIWA RASMI

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bw. Peter Gawile akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akiikagua timu ya Bandari ya Dar es Salaam kabla ya kuwavaa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari ya Dar es Salaam wakimenyana na wenzao wa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari Mtwara...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete ahimiza amani ilikuvutia zaidi wawekezaji, azindua rasmi jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo

DSC_3417

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa sambamba na viongozi waandamizi wa China na Oman wakichanganya mchanga kwa pamoja na kuweka kwenye kalai kuashiria tukio hilo la ufunguzi wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari ya Kisasa ya Bagamoyo kwa msaada wa nchi hizo mbili za China na Oman. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog.

[BAGAMOYO-PWANI] Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amewahimiza watanzania kuendelea kuienzi...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWASILI ALGIERS, ALGERIA, KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU





Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.

Rais Kikwete amewasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria akitokea New York, Marekani, ambako kwa wiki nzima amekuwa anaendesha vikao vya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani ambao wanatafuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani