Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA wakamata bidhaa bandari bubu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa mbalimbali zinazodaiwa kuingizwa au kutoka nchini kinyume cha taratibu. Aidha ilidaiwa kwamba bidhaa hizo nyingi zipo katika kiwango duni na hazifai kwa matumizi ya binadamu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bandari bubu tatu kutambuliwa rasmi

Mkoa wa Tanga upo kwenye mchakato wa kurasimisha bandari bubu tatu ili zipandishwe hadhi na kufanya kazi chini uangalizi wake, tofauti na sasa zinatumika kupitisha biashara za magendo na wahamiaji haramu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ailipua Serikali kuhusu bandari bubu nchini

Mwenyekiti wa Chacha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa uwepo wa bandari bubu zinazopitisha bidhaa kwa magendo kutoka nje ni miongoni mwa sababu zinazoua viwanda vya sukari hapa nchini.

 

9 years ago

Michuzi

TFDA wakamata bidhaa za magendo jijini Mbeya leo

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi jijini Mbeya, mapema mchana wa leo wamekamata bidhaa zilizoingizwa nchini kimagendo kupitia mpaka wa Tunduma. Bidhaa hizo ni vinywaji aina ya Dragon vilivyokuwa vikisafirishwa na gari aina ya Toyota Hiace. Pichani ni Kamanda wa Polisi Mkoani wa Mbeya, SACP Ahmed Msangi (akiwasiliana kwa njia ya simu) akiwa pamoja na Afisa wa TFDA Kanda ya Nyanda za juu kusini, Peter Namaumbo.

 

10 years ago

Habarileo

TRA yakamata bidhaa za magendo za mabilioni

Kamishna Mkuu wa TRA, Dk Rished BadeMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo zenye thamani ya Sh milioni 228.4, ikiwa ni katika jitihada za kudhibiti uingizaji wa bidhaa kwa njia ya magendo na biashara ya magendo nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Bidhaa za magendo zaipatia TRA mil 258/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kodi na faini ya jumla ya Sh milioni 258.5 kutokana na bidhaa mbalimbali za magendo zilizokamatwa katika kipindi cha Februari na Machi mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

TRA SONGWE YAGAWA BIDHAA ZILIZOINGIZWA KWA NJIA ZA MAGENDO



Mkoa wa Songwe, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela (aliyevaa miwani) akikagua orodha ya bidhaa ambazo zimetolewa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kutokana na kuwa zimekamatwa kwa njia za njia za magendo na wamiliki hawakujitokeza.
Simenti iliyokamatwa kwa kuingizwa nchini kwa njia za Magendo katika Mpaka wa Tunduma ikitolewa kwa ajili ya kupelekwa katika shule za sekondari za Mkoa wa Songwe.

…………………………………………………………Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) Mkoa wa Songwe imegawa baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

TRA YAKUSANYA ZAIDI YA SH.BILIONI 258 KWA FAINI NA KODI ZA BIDHAA ZA MAGENDO

Na Avila Kakingo,Globu ya jamii
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita imekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 258 zilizotokana na faini ya bidhaa mbalimbali za magendo.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam,amesema TRA inaungana na jeshi la Polisi katika kukamata watu wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa ...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ....WAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO WA TRA

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa  wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi  baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu ambayo hakuyafurahia.Maafisa hao, ambao kwa sasa tunahifadhi majina ili Jeshi la Polisi liweze kuwashughulikia, wametakiwa pia kusalimisha hati zao za usafiri.Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo...

 

9 years ago

Dewji Blog

HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!

DSC_1838

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa  alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA. 

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.

Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani