Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Jakaya Kikwete ahimiza amani ilikuvutia zaidi wawekezaji, azindua rasmi jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo

DSC_3417

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa sambamba na viongozi waandamizi wa China na Oman wakichanganya mchanga kwa pamoja na kuweka kwenye kalai kuashiria tukio hilo la ufunguzi wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari ya Kisasa ya Bagamoyo kwa msaada wa nchi hizo mbili za China na Oman. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog.

[BAGAMOYO-PWANI] Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amewahimiza watanzania kuendelea kuienzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe  akizungumza na waandi wa habari wapo picha juu ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10 na kukamilika kati ya miaka mitano hadi saba ijayo. kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CMHI ambaye pia ni Makamu wa Rais Mtendaji wa kampuni ya China Merchant Group Dk Hu Jianhua.kikao hichi kimefanyika leo jijini Dar es SalaamWaziri wa Mambo ya Nje na...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO

Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete Alhamis Wiki hii anatarajiwa  kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani.  
Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Dk Florens Turuka, Rais Kikwete ataweka jiwe hilo la msingi kwa ajili ya uzinduzi wa awamu ya kwanza ya mradi; ambayo ni...

 

9 years ago

Habarileo

Jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo leo

UJENZI wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani unaojengwa kwa kushirikiana kati ya Tanzania, China na Oman, unazinduliwa leo kwa kuwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR

  Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akifungua pazia kuashiria  uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Jengo la Morocco Square Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BANDARI YA MBEGANI BAGAMOYO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi kutoka Usultani wa Oman Hon.Dr.Ahmed Mohamed Al Furaisi na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya China Merchants Group Dkt. Hu Jianhua wakichanganya kokoto kuzindua rasmi ujenzi wa Bandari ya Mbegani iliyopo wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo.Bandari hiyo kubwa inajengwa kwa ubia kati ya serikali ya Tanzania, China na Oman.(Picha na Freddy Maro).

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akifungua pazia kuashiria  uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Jengo la Morocco Square Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), wakati wa hafla ya uwekaji wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete azindua chapisho la tatu la taarifa za msingi za Sensa

IMG_5463

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es Saalam leo.

IMG_5509

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA KIVUKO CHA MV MAFANIKO NA KUWEKA JIWE LA MSINGI WA NYUMBA ZA MAKAZI NHC MKOANI MTWARA LEO

 Rais Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi  katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30 za makazi zinazojengwa  na NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu pamoja na Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza jambo na Rais  Dkt Jakaya Kikwete mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani