RAIS JAKAYA KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waandi wa habari wapo picha juu ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10 na kukamilika kati ya miaka mitano hadi saba ijayo. kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CMHI ambaye pia ni Makamu wa Rais Mtendaji wa kampuni ya China Merchant Group Dk Hu Jianhua.kikao hichi kimefanyika leo jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CzZYTL-L8Pg/Vh2nXF7mH4I/AAAAAAAH_1o/OWGt9MiTeWs/s72-c/kikwete.jpg)
RAIS KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO
![](http://1.bp.blogspot.com/-CzZYTL-L8Pg/Vh2nXF7mH4I/AAAAAAAH_1o/OWGt9MiTeWs/s320/kikwete.jpg)
Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Dk Florens Turuka, Rais Kikwete ataweka jiwe hilo la msingi kwa ajili ya uzinduzi wa awamu ya kwanza ya mradi; ambayo ni...
9 years ago
Dewji Blog17 Oct
Rais Jakaya Kikwete ahimiza amani ilikuvutia zaidi wawekezaji, azindua rasmi jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa sambamba na viongozi waandamizi wa China na Oman wakichanganya mchanga kwa pamoja na kuweka kwenye kalai kuashiria tukio hilo la ufunguzi wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari ya Kisasa ya Bagamoyo kwa msaada wa nchi hizo mbili za China na Oman. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale, Modewjiblog.
[BAGAMOYO-PWANI] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amewahimiza watanzania kuendelea kuienzi...
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/+lastest/default.jpg)
DODOMA KUMENOGA: RAIS MAGUFULI KUWEKA JIWE LA MSINGI, UJENZI WA OFISI ZA IKULU
11 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA WATOTO HUKO ZINGA BAGAMOYO
9 years ago
Habarileo16 Oct
Jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo leo
UJENZI wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani unaojengwa kwa kushirikiana kati ya Tanzania, China na Oman, unazinduliwa leo kwa kuwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qlSR7Zfb0uA/VLig5im4QOI/AAAAAAAG9sQ/A2S-qDBjk48/s72-c/255672_173286402731251_5683545_n.jpg)
Dk.Bilal kuweka jiwe la Msingi Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qlSR7Zfb0uA/VLig5im4QOI/AAAAAAAG9sQ/A2S-qDBjk48/s1600/255672_173286402731251_5683545_n.jpg)
MAKAMU wa Rais ,Dk.Mohammed Gharib Bilal anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uwekwaji wa jiwe la Msingi la Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), zitakazofanyika Jumamosi Januari 17 katika Kijiji cha Kiromo, Bagamoyo Mkoani Pwani.
Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake Mikocheni Dar es Salaam, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho anayeshughulikia Fedha na Utawala, Dk.Elifuraha Mtalo alisema sherehe hizo zitafanyika Katika Kijiji cha Kiromo na kwamba...
9 years ago
GPLRAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ONx6AI1isGk/U_WqfmiBIKI/AAAAAAAGBFY/RRB-6ksra0Y/s72-c/unnamed%2B(65).jpg)
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO
![](http://1.bp.blogspot.com/-ONx6AI1isGk/U_WqfmiBIKI/AAAAAAAGBFY/RRB-6ksra0Y/s1600/unnamed%2B(65).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-w7CMGL8y0cI/U_Wqh-kYvpI/AAAAAAAGBFw/o_8b2yABlUE/s1600/unnamed%2B(66).jpg)
9 years ago
VijimamboRAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR ES SALAAM