Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM haitaki mgombea wa kusafisha kwa dodoki

>Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama hicho hakitampitisha mgombea urais asiye na sifa na kuhangaika kumsafisha kwa dodoki ili atakate.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kinana: Magufuli kusafisha CCM na Serikali

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema ndani ya CCM wapo watu wa hovyo, wezi na wanafiki, lakini kama watamchagua Dk John Magufuli kuwa rais, ataisafisha CCM na Serikali yake. “CCM tumejitahidi kuleta maendeleo, lakini lazima nikiri ndani ya CCM kuna kasoro. Tuna mijitu hovyo, tuna wezi, tuna majambazi humo na kuna watu wanafiki ndani ya CCM,” alisema Kinana.

 

10 years ago

Dewji Blog

NAPE: Hakuna mgombea atakayepitishwa CCM kwa presha za makundi, ni kwa kukidhi vigezo vya kanuni na katiba za chama tu

NA BASHIR NKOROMO

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA MGOMBEA ATAKAYEPITISHWA CCM KWA PRESHA ZA MAKUNDI

NA BASHIR NKOROMO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: CCM inatambulisha mgombea kwa wanachama au wapigakura?

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana imebariki mikutano ya hadhara inayofanywa na Chama cha Mpinduzi (CCM) kwa kivuli cha kumtambulisha Dk John Magufuli, ambaye ameteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Tisa washikiliwa kwa tuhuma za kushambulia msafara wa mgombea wa CCM

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia vijana tisa wanaotuhumiwa  kurusha mawe  kwenye msafara  wa mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini kupitia CCM,  Davis Mosha alipokuwa akitoka kwenye mkutano wa kampeni eneo la Mbuyuni.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea Mwenza Urais CCM ahaidi neema kwa wajasiriamali Dar

Yombo17

Mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu akiwapungia mkono wanaCCM na wananchi wengine waliohudhuria mkutano wake wa kampeni alipowasili uwanja wa Yombo Buza, Wilaya ya Temeke jijini Dar es  Salaam.

MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetenga kiasi cha fedha kitakachotumika kama dhamana ili wajasiliamali mbalimbali wa jijini Dar es Salaam waweze kudhaminiwa kwenye mabenki na kupewa mikopo ili kuendeleza biashara zao.

Bi....

 

10 years ago

GPL

MJUE KWA UNDANI MGOMBEA URAIS WA CCM, MHE. JOHN POMBE MAGUFULI

- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita).
- Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
- Mwaka 1991 – 1994, Shahada ya Uzamili ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye Chuo Kikuu  cha Salford, Uingereza. - Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani