Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Magufuli kusafisha CCM na Serikali

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema ndani ya CCM wapo watu wa hovyo, wezi na wanafiki, lakini kama watamchagua Dk John Magufuli kuwa rais, ataisafisha CCM na Serikali yake. “CCM tumejitahidi kuleta maendeleo, lakini lazima nikiri ndani ya CCM kuna kasoro. Tuna mijitu hovyo, tuna wezi, tuna majambazi humo na kuna watu wanafiki ndani ya CCM,” alisema Kinana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kinana aitolea uvivu Serikali ya CCM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameikosoa Serikali ya chama chake kwamba imekuwa siyo sikivu kwa matatizo ya wananchi na kuwa wabunge wa chama hicho wanapitisha sheria ambazo zinakuwa mzigo kwa wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wana CCM isimamieni serikali

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wana-CCM kutokuwa na woga katika kuisimamia Serikali katika ngazi zote.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli -Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema chama kinaunga mkono utendaji kazi wa Rais John Magufuli, ikiwamo kuhakikisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zinasimamia ipasavyo ulipaji wa kodi.

 

5 years ago

CCM Blog

KINANA ONYESHA UKOMAVU KATIKA SIASA, AMUOMBA RADHI MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI

CCM Blog, Arusha
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana (pichani) amemuomba radhi Mwenyekiti wa CCM Rais Dk.John Magufuli kwa kauli mbalimbali alizotoa hadi Chama kulazimika kumpa adhabu hivi karibuni.

Kinana alitoa tamko la kumuomba radhi Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli, alipozungumza na Waandishi wa habari baada ya kukutanha na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mkoa huo Zelothe Stephen na kufanya mazungumzo naye katika ofisi za CCM mkoa wa Arusha leo.

Katika...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWASHUKURU WAPIGA KURA WALIOICHAGUA CCM KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Mkutano wake waweka historiaAtoa salaam za mwaka na kusema Chama kitashughulika na maadili ya viongozi mwaka 2015Asisitiza viongozi kutembelea wananchi na kuwasikiliza na kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa mikutano Tangamano ambapo aliwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Tanga ilichukua nafasi ya pili kwa kupata ushindi wa asilimia 97.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM haitaki mgombea wa kusafisha kwa dodoki

>Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama hicho hakitampitisha mgombea urais asiye na sifa na kuhangaika kumsafisha kwa dodoki ili atakate.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Masasi, ataka CCM iendelee kuibana serikali juu ya wafujaji wa fedha za umma

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ufyatuaji matofali kwa kutumia mashine ya kujengea ofisi ya CCM Wilaya ya Masasi, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Kinana akilakiwa katika Kijiji cha Mwena-Ndanda alipoanza ziara katika Wilaya ya Masasi, mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA MWANZA,MAGUFULI MOSHI NA HAI..HUKO BUMBULI NA MLALO WALIKUWA VIJANA WA KAZI WA CCM HAWA HAPA

Mzee yupo tayari kwa kupiga kura kumchagua Rais,Mbunge na Diwani wa Chama cha Mapinduzi.January Makamba akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Mamba,Kubwa ametekeleza Upatikanaji wa Umeme,Usambazi wa maji na uanzishwaji wa kituo cha Afya.January Makamba chaguo la Wanabumbuli.Watoto nao ni Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi kwa uongozi Ujao."Mabadiliko ya kweli yapo CCM"January Makamba akinadi sera zake na kuzungumzia Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa jimbo la Bumbuli kata ya...

 

9 years ago

Bongo5

Siku ya Uhuru: Magufuli ni kama sisi tu, aingia mtaani kusafisha mazingira (Picha)

12345749_1070297212994241_164260733_n

Rais Dkt John Magufuli hana tofauti na sisi wananchi wa kawaida.

12345749_1070297212994241_164260733_n
Rais Dkt Magufuli akishiriki kwenye zoezi la kufanya usafi nchi nzima kuadhimisha miaka 54 tangu uhuru wa Tanganyika

Katika kusherehekea siku ya Uhuru, Magufuli na mke wake Mama Janeth wameunga na wananchi nchini kote kusafisha mazingira.

12298956_930258853735557_1202470643_n
Hapa Usafi Tu

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kutangaza kuondoa sherehe za kitaifa za Uhuru zilizooleka kufanyika kila mwaka na badala yake siku hii itumike kufanya usafi ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani