Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana aitolea uvivu Serikali ya CCM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameikosoa Serikali ya chama chake kwamba imekuwa siyo sikivu kwa matatizo ya wananchi na kuwa wabunge wa chama hicho wanapitisha sheria ambazo zinakuwa mzigo kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wana CCM isimamieni serikali

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wana-CCM kutokuwa na woga katika kuisimamia Serikali katika ngazi zote.

 

9 years ago

Mwananchi

Kinana: Magufuli kusafisha CCM na Serikali

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema ndani ya CCM wapo watu wa hovyo, wezi na wanafiki, lakini kama watamchagua Dk John Magufuli kuwa rais, ataisafisha CCM na Serikali yake. “CCM tumejitahidi kuleta maendeleo, lakini lazima nikiri ndani ya CCM kuna kasoro. Tuna mijitu hovyo, tuna wezi, tuna majambazi humo na kuna watu wanafiki ndani ya CCM,” alisema Kinana.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWASHUKURU WAPIGA KURA WALIOICHAGUA CCM KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Mkutano wake waweka historiaAtoa salaam za mwaka na kusema Chama kitashughulika na maadili ya viongozi mwaka 2015Asisitiza viongozi kutembelea wananchi na kuwasikiliza na kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya wananchi Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa mikutano Tangamano ambapo aliwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Tanga ilichukua nafasi ya pili kwa kupata ushindi wa asilimia 97.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Masasi, ataka CCM iendelee kuibana serikali juu ya wafujaji wa fedha za umma

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ufyatuaji matofali kwa kutumia mashine ya kujengea ofisi ya CCM Wilaya ya Masasi, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Kinana akilakiwa katika Kijiji cha Mwena-Ndanda alipoanza ziara katika Wilaya ya Masasi, mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yamtolea uvivu Lowassa urais 2015

>Unaweza kusema sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kumfungia kazi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa baada ya jana Makamu Mwenyekiti wake (Bara), Phillip Mangula kusema kuwa wanachama wake walioanza mbio za kuwania urais mwaka 2015 watachukuliwa hatua kali za kinidhamu

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto awatolea uvivu wanaomwita kibaraka wa CCM

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kama angekuwa ni msaliti na kibaraka wa Chama cha Mapinduzi (CCM), asingeweza kuongoza mapambano ya kuwang’oa mawaziri 13 kwa miaka mitatu katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASHUKURU WAKAZI WA TANGA KWA KUFANYA VYEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

 Wananchi wa Tanga mjini wakimpa mkono wa kumuga Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kumaliza mkutano wake wa kuwashukuru Watanzania kwa kuichagua CCM na kuwashukuru kwa imani yao kwa kutambua chama kinaweza kuongoza.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM wakati wa kuwashukuru wananchi hao kwa kuichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwezi Desemba 2014.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.

Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.

Katibu Mkuu wa...

 

9 years ago

Habarileo

Maguli aitolea nje Simba SC

MSHAMBULIAJI Elias Maguli amesema kwamba anaweza kujiunga na timu yoyote, lakini si Simba. Alisema kuwa hataki kabisa kurejea Simba na zaidi anafikiria kwenda kucheza soka nje ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani