Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM imeweza Sudan Kusini na ndani je?

Jana, vyama vitatu vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vilitoa tamko rasmi kuwa vitasusia Kura ya Maoni ambayo imepangwa kufanyika Aprili 30, wakati wananchi watakapopiga kura ya kuamua Katiba watakayotumia kwa miaka kadhaa ijayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Malecela atamba CCM kusuluhisha Sudan Kusini

MALECELA.NA PENDO MANGALA, DODOMA
MWANASIASA mkongwe na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Malecela, amesema kitendo cha chama hicho kuwa mwenyeji katika mkutano wa usuluhishi wa mgogoro wa Sudan Kusini, anaamini ni moja ya mambo yatakayokisogeza mbele.
Malecela aliyekuwa msuluhishi wa mgogoro huo, alitoa kauli hiyo jana mjini hapa, wakati akiwashukuru wanaCCM wa Mkoa wa Dodoma kwa mapokezi makubwa, kwani ni heshima kwake na taifa.
“Kiukweli kazi ile ilikuwa ni ngumu sana kwani kusuluhisha watu...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA CHAKE CHAKE MKOA WA KUSINI PEMBA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana sambamba na Wananchi wakishiriki ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Uwandani,katika jimbo la Wawi,wilaya ya Chake Chake,Mkoa Kusini Pemba.Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa mbele ya katibu Mkuu Ndugu Kinana,imeeleza kuwa mradi wa ujenzi wa jengo hilo litakalokuwa na jumla ya vyumba sita,litagharimu kiasi cha shilingi milioni 18 zitakazomilisha mradi huo. Katibu Mkuu wa CCM na ujumbe wake pamoja na wananchi wakikatiza kwenye shamba la miti linalosimamiwa na Kikundi...

 

10 years ago

Vijimambo

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.

Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...

 

10 years ago

Michuzi

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza utiaji wa saini. Kutoka kulia ni  Mhe. Salva Kiir Mayardit  Rais wa Sudan Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa SPLM na anayeongoza kundi linalojulikana kama SPLM in Government (SPLM-IG), Mhe Dkt. Riek Machar ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa SPLM na pia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini anayeongoza kundi la SPLM in Opposition (SPLM-IO) na Dkt. Deng Alor Kuol ambaye anaongoza kundi la SPLM Leaders- Former Detainees (SPLM Leaders – FD). Nyuma yao ni...

 

10 years ago

GPL

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya…
...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maslahi ya UG, Sudan Kusini

Serikali ya Uganda imekiri kuwapeleka wanajeshi wake kusaidia wanajeshi wa Sudan kupambana na waasi wa Riek Machar

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan kusini

Viongozi wa pande zinazopingana Sudan, hawajaunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku 90 kama ilivyokubaliwa mwezi wa 8.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Sudan Kusini imeporomoka?

Nchi changa zaidi duniani Sudan Kusini, imeorodheshwa kama nchi ya kwanza yenye hali tete zaidi duniani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya Sudan Kusini yakwama

Matumaini ya kupatikana kwa amani Sudan Kusini yameingia mashakani baada ya mazungumzo ya uso kwa uso ya pande zinazopingana yaliyokuwa yakitarajiwa kufanyika nchini Ethiopia kuchelewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani