CCM kama popo au kinyonga
KAULI za baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wanaotoka CCM zinanishangaza kutokana na kubadilika kama lilivyo umbile la popo, leo ndege (anaruka) na kesho mnyama (anazaa). Kwa lugha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
CCM iache tabia ya kinyonga
KILA siku katika maisha yangu nimekuwa nikijifunza mbinu mpya za watu wa Zanzibar za kupeleka ujumbe, kufurahia au kukejeli jambo. Hivi karibuni nilipigwa butwaa nilipokuwa katika eneo la Darajani mjini...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
CCM Zanzibar iache kujigeuza popo
KAULI za baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wanaotoka CCM zinanishangaza kwa vile huwa zinabadilika kama lilivyo umbile la popo, leo ndege (anaruka) na kesho mnyama (anazaa). Kwa...
10 years ago
Mtanzania09 Sep
‘Maalim Seif ni Popo’
![maalim seif sharif hamad](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/maalim-seif-sharif-hamad.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.
Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Popo waeneza Ebola Guinea
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
PANAFRICAN Energy yatoa yafadhili ujenzi wa wodi ya ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga Kilwa Kivinje
![](http://4.bp.blogspot.com/-5kG5YaQYV0c/VmarLsMff7I/AAAAAAADDWI/n9AdVrs_KoQ/s640/_MG_2019.jpg)
Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew Kangashaki (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea katika hospital ya Kinyonga na ukarabati wa wodi ya uzazi mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4h11mrykINk/VmaIQ_IBHKI/AAAAAAADDVg/JVsm2zrdAoI/s640/8.jpg)
Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew Kangashaki (wa tatu kushoto) pamoja na...
9 years ago
Bongo505 Jan
Video: Pam D Ft Mesen Selekta – Popo lipopo
![Popolipo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Popolipo-300x194.jpg)
Mwanadada Pam D ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Popo lipopo” amemshirikisha Mesen Selekta, Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Global Publishers31 Dec
9 years ago
Global Publishers04 Jan