Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM leo kutoa ufafanuzi kuhusu mawaziri mizigo

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema leo kitatoa ufafanuzi kuhusu mawaziri walioshindwa kutekeleza majukumu yao lakini hawajaguswa, licha ya Rais Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kuwatosa mawaziri watano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ikulu yavunja ukimya kuhusu 'mawaziri mizigo'

>Ikulu imetaka kufungwa kwa mjadala wa kuhusu kurudishwa kwa mawaziri wanaodaiwa kuwa ni mizigo kwenye Baraza la Mawaziri na badala imetaka waachwe wafanye kazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri mizigo waipasua CCM

HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo la CCM kwa mawaziri 'mizigo'

Chama tawala TZ,CCM, kimeonya kwamba, hakitasita kuwachukulia hatua kali watendaji wa serikali wakiwemo mawaziri watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM wawakalia kooni mawaziri mizigo

Wabunge 160 wa CCM wamejiorodhesha kuomba kuitishwa kwa kikao cha Kamati ya Wabunge hao kwa lengo la kuwajadili mawaziri wanaotajwa kuwa mizigo.

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

11 years ago

Habarileo

Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’

SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri ‘mizigo’ wapata mtetezi

KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepingwa kwa hatua yake ya kuwaainisha mawaziri wanaoonekana kuwa mizigo ndani ya Baraza la Mawaziri, huku Katibu wa Uenezi na Itikadi Nape Nnauye...

 

11 years ago

GPL

MAWAZIRI MIZIGO ISICHUKULIWE KISIASA

NIANZE kwa kumshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha kuifikia siku ya leo tukiwa salama salimini. Kama ninavyosema siku zote, ni muhimu sana kumkumbuka na kumsifu muumba kwa sababu sisi tumepata bahati ya kuifikia leo siyo kwa ujanja tulionao, bali kwa rehema zake pekee. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Moses Nnauye. Wakati Afrika yote ikiwa bado na simanzi kwa kifo cha shujaa wetu, mzee Nelson...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani