Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM mbio za urais, upinzani wajikita kuhamasisha BVR, uteuzi wa ndani

Dar es Salaam. Wakati CCM ikiendelea kupokea msururu wa makada wanaowania kuteuliwa kugombea urais, vyama vingine vya upinzani vinaendelea na mchakato wao wa ndani wa uchaguzi, huku Chadema kikijikita katika uhamasishaji wa uandikishaji wa wapigakura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBIO ZA URAIS 2015: MCHUNGAJI MTIKILA WA DP, FAHMI DOVUTWA WA UPDP,MAXMILLIAN LYIMO WA TLP WACHUKUA FOMU ZA UTEUZI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC

MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, akikabidhiwa fomu za uteuzi za tume ya taifa ya uchaguzi, NEC, kutoka kwa afisa uchaguzi mwandamizi wa tume hiyo, makao makuu ya NEC jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Agosti 1, 2015.MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa, (kulia), akipokea mkoba wenye fomu za uteuzi wa kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

MTANZANIA ZINDUKAAA!!!!CCM WATAPA-TAPA: “TUNAWEZA” Ni Matokeo ya Mbio za Uraisi Ndani ya CCM

Assalamu alaikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa Vyetu. Assalamu Alaikhum Ndugu Watanganyika Wa Ndani na Nje Ya Nchi Yetu. Assalamu alaikhum Watanzania Wote Kwa Ujumla Wenu.. Ama mimi sina budi ila Kumshukuru Allah […]

The post MTANZANIA ZINDUKAAA!!!!CCM WATAPA-TAPA: “TUNAWEZA” Ni Matokeo ya Mbio za Uraisi Ndani ya CCM appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbio urais CCM

Khamis Mkotya na Debora Sanja, Dodoma

HATIMAYE mbio za urais, ubunge, udiwani na uwakilishi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeanza rasmi, baada ya chama hicho kutangaza ratiba ya kuchukua na kurejesha fomu.
Ratiba hiyo inaonyesha fomu za wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar zitaanza kutolewa Juni 3 na kurejeshwa Julai 2, mwaka huu, saa kumi jioni.
Kuhusu nafasi ya ubunge, udiwani na uwakilishi, wagombea wa nafasi hiyo wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Julai 15...

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani afunguka uteuzi wa urais CCM

Jaji mstaafu Augustine Ramadhani amesema anaheshimu matokeo ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa malezi aliyopitia ndivyo yanavyomwelekeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa mgombea Urais,CCM inapita njia nyembamba

Ndugu wasomaji wangu leo, siku ambayo CCM inatarajiwa kumteua na kumtangaza mgombea wake wa urais, nimeona niendelee kuandika kuhusu chaguo lao litakuwaje bila kuathiriwa na mgogoro wa vizazi, Edward Ngoyai Lowassa, makundi na mitandao, ubara na uzanzibari na mwisho kabisa ukanda.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kuchukuwa   fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni mkewe mama Tunu PindaSehemu ya wageni wakimsikiliza Mhe Pinda  wakati alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015

WAZIRI wa maliasili na utalii na mbunge wa jimbo la Singida kaskazini(CCM) ,Lazaro Samwel Nyalandu,ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS

1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu baada ya kuwasili kuwasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma kuchukuwa fomu za kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao . Kulia ni Mkewe Tunu na kushoto ni Katibu wa Nec CCM, Mohammed Seif Khatib. 3Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiwa ameshika fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015. Kulia ni Mkewe Tunu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani