Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM New York inawakaribisha watanzania wote kwenye Bash la miaka 38 ya CCM…tega sikio nani kutumbuiza Feb 21

Untitled

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21 !

Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwepo na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata.
                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu



                          
           ...

 

10 years ago

Michuzi

NEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21

Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwqa na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata. Tuungane Tuiline Tanzania Yetu

TICKETS PRICE: ADVANCE $40 | DOOR...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEEEEEEWWZZZZ OMMY DIMPOZ BIRTHDAY BASH YA CCM NEW YORK FEB 21

             JE NI MSANII GANI ATAKAYE WARUSHA ROHO KWENYE BIRTHDAY BASH YA CCM NEW YORK FEB 21?????..                     
""AIN'T NO PARTY LIKE A NEW YORK PARTY""                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu


                          
                                         UKUMBI WA RICHI RICH PALACE KWA NJE                          
                                     UKUMBI UNAVYOONEKANA KWA NDANI
                          
                               ...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA NA WANA CCM WOTE WA TAWI LA NEW YORK.

Ni takribani siku 29 zimepitatangu marehemu Alfred Magege alipo aga dunia mnano 6/13/15 na kuzikwa6/28/15. Familia ya marehemu bado haijasahau na haitasahau moyo wapekee uliojaa upendo, faraja, ukarimu, umoja, mshikamano, undugu naurafiki wa kweli wakati wa kipindi hicho kigumu cha msiba.Kushiriki kwenu kumeipa familia imani, sababu, na nguvunyingine ya kuendelea kukabili maisha pasipo hofu tukitambua familiakubwa iliyotuzunguka kipindi hicho na Mwenyezi Mungu anayetunza sikukwa siku tukiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA UHURU PARTY -DECEMBER 6 -WASHINGTON DC-DINNER & LIVE SHOW-JE NANI KUWASHA MOTO??-TEGA SIKIO

Party ya Uhuru Ya Aina Yake, Red Carpet,Live Show Kutoka Kwa Msanii # 1 Africa

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEEEEEEWWZZZZ - JE NI MSANII GANI ATAKAYE WARUSHA ROHO KWENYE BIRTHDAY BASHH YA CCM NEW YORK FEB 21?????..NUNUA TIKETI USIJE JILAUMU -DETAILS DROPPING SOON !

                                   ""AIN'T NO PARTY LIKE A NEW YORK PARTY""
                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu



                          
                                         UKUMBI WA RICHI RICH PALACE KWA NJE                          
                                     UKUMBI UNAVYOONEKANA KWA NDANI
                          
                                                  TICKETS PRICE: ADVANCE $40 | DOOR $50
Inclusive of:
*Red Carpet Grand...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK

 Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo. Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani