Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM NEW YORK INAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE BASHHHH LA MIAKA 38 YA CCM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21 !

Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwepo na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata.
                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu



                          
           ...

 

10 years ago

Michuzi

NEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21

Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwqa na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata. Tuungane Tuiline Tanzania Yetu

TICKETS PRICE: ADVANCE $40 | DOOR...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA NA WANA CCM WOTE WA TAWI LA NEW YORK.

Ni takribani siku 29 zimepitatangu marehemu Alfred Magege alipo aga dunia mnano 6/13/15 na kuzikwa6/28/15. Familia ya marehemu bado haijasahau na haitasahau moyo wapekee uliojaa upendo, faraja, ukarimu, umoja, mshikamano, undugu naurafiki wa kweli wakati wa kipindi hicho kigumu cha msiba.Kushiriki kwenu kumeipa familia imani, sababu, na nguvunyingine ya kuendelea kukabili maisha pasipo hofu tukitambua familiakubwa iliyotuzunguka kipindi hicho na Mwenyezi Mungu anayetunza sikukwa siku tukiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK

 Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo. Mhe....

 

9 years ago

GPL

BARUA KALI KWA CCM NA WATANZANIA WOTE

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Ndugu zangu. Watanzania wenzangu, Kwanza kabisa nawapongezeni kwa amani na utulivu mliouonyesha katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu ambao ulimalizika salama na hatimaye jana Rais wa Awamu wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliapishwa mbele ya macho yangu na ya Watanzania wengine wengi. Hakika tumeuthibitishia ulimwengu kwamba, sisi Watanzania ni tofauti na wao,...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA CCM MIAKA 38 NEW YORK

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM NEW YORK NI SHIDAAA


THE VENUE - AMBIANCE & ELEGANT SETTINGS3-COURSE DINNER& MUCH MORE..
STAY TUNED 4 MORE INFO!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani