Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM NEW YORK NI SHIDAAA


THE VENUE - AMBIANCE & ELEGANT SETTINGS3-COURSE DINNER& MUCH MORE..
STAY TUNED 4 MORE INFO!

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA CCM MIAKA 38 NEW YORK

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO


 Tembaphoto akiwa na mama mwenye nyumba wake siku ya sherehe za miaka 38 za kuzaliwa kwa CCM. Sherehe zilifanyanyika New York na kuudhuliwa na Watanzania kutoka kila pande za Marekani. Na Mhe.Ridhiwani Jakaya ambae ni mbunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama tawala CCM kuudhulia na kutoa hotuba kama mgeni rasmi wa sherehe hiyo. Hapa ni Miss Maundi katibu wa vijana wa CCM New York akipata ukodak juu ya zuria jekundu
 Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK

 Kati ya watu waliovunja kabati na kutupia vitu classic ni pamoja na Mhe. Ridhiwani kama unavyo muona hapa akiingia ukumbini kwa kujiamini sambamba na viongozi wa Tawi la CCM New York. Mhe. aliongea mambo machache juu ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania na mipango ya maendelea inayofanywa na chama tawala CCM. Na aliomba Watanzania waishio ughaibuni kuwa kitu kimoja bila kujali dini, kabila wala chama wote ni Watanzania na umoja na upendo ndiyo nguzo yetu ya kujivunia popote pale tulipo. Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA

 MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani. MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York akiongea kwenye sherehe hizo Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa...

 

11 years ago

GPL

SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI NEW YORK‏

Sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zilivyofana New York , Sherehe hizo zilipendezeshwa kwa show ya mavazi, chakula na music wa Asili ya mwambao kutoka kwa Dj Bilal. Balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa New York Mh. Tuvako N. Manongi ndiyo alikuwa mgeni rasmi wa sherehe hizo. Na alitoa hotuba fupi juu ya history ya mapinduzi. Na mama Ashura Babu pia kama ilivyo kwa Mh. Balozi Manongi alipata fulsa ya kuelezea mapinduzi hayo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

UKUMBI WA SHEREHE ZA CCM NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO

Ukumbi utakaofanya sherehe za CCM New York Febr 21

muonekano wa ndani ya ukumbi na stage yake, kwa picha zaidi tembelea http://tembaphoto.com/index.php?sphoto

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK

Tawi la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho, Kulikuwa na  hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama  iliyosomwa na mwenyekiti wa tawi bwana Maftah na mambo mengi kama kula chakula  kucheza ngoma na muziki kutoka kwa Dj Paul Masoud wa Boston. Mgeni rasmi  akiingia ukumbini hapa akisindikizwa na viongozi wa tawi la CCM New York.  Viongozi wakijiweka sawa kwenye meza kuu Kwa picha zaidi BOFYA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani