Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM ngoma mbichi Dodoma

Dodoma. Mambo yanaonekana kuwa mazito kwa CCM ambayo inajiandaa kufanya moja ya mikutano yake muhimu ya vyombo vyake vya juu kabla ya kuanza mchakato wa Uchaguzi Mkuu baada ya Sekretarieti kukutana hadi usiku wa manane kufanya maandalizi ya vikao hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Escrow ngoma bado mbichi

Barack-ObamaNa Elias Msuya
SERIKALI ya Marekani imeendelea kuichunguza Tanzania kama inakidhi vigezo vya kupewa msaada wa Shirika la Msaada wa Maendeleo la Marekani (Millennium Challenge Corporation- MCC) unaofikia Dola za Marekani milioni 700, sawa na Sh trilioni 1.3.
Tathmini hiyo imeendelea kufanyika wakati nchi ya Ghana ikiwa tayari imeshapata msaada wake, huku Tanzania ikikabiliwa na harufu ya ufisadi unaokwamisha kupitishwa kwa msaada huo.
Taarifa hizi mpya zimepatikana baada ya kikao...

 

10 years ago

Michuzi

supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata, korosho havisaidii urijari - Daktari

Dk Cuthbert Maendaenda akiwatwanga
lekcha wahariri mbalimbali mjini Morogoro
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na virutubisho vinavyotolewa na vyakula hivyo.

Kauli hiyo imetolewa na Dk Cuthbert Maendaenda wakati akitoa mada yake katika semina ya wahariri iliyofanyika mkoani Morogoro iliyojadili nafasi ya wanaume...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

GPL

CCM, LOWASSA NGOMA NZITO

Mwandishi wetu NGOMA nzito inaripotiwa kuwepo baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kada wake mkongwe, Edward Lowassa ambaye hivi karibuni alihamia Chadema, baada ya pande hizo mbili kutupiana shutuma, kila mmoja akimponda mwenzake. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1VQSsfV

 

11 years ago

GPL

CCM, CHADEMA NGOMA DROO!

Stori: Mwandishi Wetu VITA ni vita! Siku mbili zimekatika tangu sakata la picha ya pozi inayodaiwa kuwa ni ya mheshimiwa Komba na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Angel kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari Bongo, lingine limeibuka! Mheshimiwa anayedaiwa kuwa wa Chadema akiwa katika pozi tata na binti ambaye jina lake halikupatikana. Hili la safari hii ni zito pia. Lenyewe linamhusu mheshimiwa mmoja ambaye anadaiwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA CCM DODOMA USIKU HUU: USIRI WATAWALA TANO BORA YA WAGOMEA WA CCM

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari usiku huu nje ya ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokaa kupitisha majina matano ya wagombea Urais yatakayopelekwa kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM kujadiliawa hapo saa nne asubuhi. Nape hakutaja majina ya wagomea hao waliopita kwenye tano bora, kwa kuseka atataja asuhuhi. Muda mfupi baada ya Katibu wa NEC,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwigamba, CCM wanacheza ngoma isiyokesha

NIMEAMUA kuandika kidogo ili nisaidie kuanika uongo wa Samson Mwigamba na rafiki zake (Kitila Mkumbo na Zitto Kabwe) katika kile wanachofanya, kwa kutumiwa na serikali na CCM, katika malengo maovu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani