CCM YASHUTUMU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MCT
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Januari Makamba, akizungumza na wandishi wa habari katika ofisi ndogo makao mkuu Mtaa wa Lumumba jijini Dar. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Makamba. Wanahabari wakichukua…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili29 May
UN yashutumu mwanamke Mpakistan kuuliwa
10 years ago
Habarileo02 Aug
20 CCM washikiliwa kwa tuhuma za rushwa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nkasi mkoani Rukwa, inawashikilia wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo diwani wa Viti Maalumu (CCM) aliyemaliza muda wake, wakituhumiwa kutoa na kupokea rushwa.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
UN yashutumu kuvamiwa kwa ubalozi Iran
11 years ago
BBCSwahili30 May
White House yashutumu silaha za Urusi
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/jpdy7M-Pp3E/default.jpg)
9 years ago
StarTV20 Aug
M/kiti wa CCM Majohe ajiuzulu baada ya tuhuma za rushwa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Majohe, Gekura Gisiri, amejiuzulu baada ya mgombea wa udiwani kwenye kata hiyo, Hassan Kingalu aliyekuwa akilalamikiwa kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni kutangazwa mshindi atakayegombea udiwani wa kata hiyo.
Pamoja na hatua hiyo ya kujiuzulu, wananchi wa eneo hilo nao wameonyesha kutokukubaliana na kupitishwa kwa mgombea huyo, kwa kudai kuwa hana sifa za kuwa kiongozi wao.
Mwenyekiti huyo wa CCM kata ya Majohe, Gekura Gisiri...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Tisa washikiliwa kwa tuhuma za kushambulia msafara wa mgombea wa CCM
10 years ago
Habarileo22 Feb
Serikali yashutumu ukiukaji wa viapo vya uaminifu kwa taifa
SERIKALI imesema madai ya baadhi ya vijana waliohitimu katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuruhusiwa kujiunga na vikundi vya majeshi ya nchi jirani yanayopigana ni kukosa uzalendo na uaminifu kwa taifa.