UN yashutumu kuvamiwa kwa ubalozi Iran
Umoja wa Mataifa umeshutumu vikali kushambuliwa kwa ubalozi wa Saudi Arabia nchini Iran na waandamanaji waliokasirishwa na kuuawa kwa mhubiri wa Kishia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Feb
Serikali yashutumu ukiukaji wa viapo vya uaminifu kwa taifa
SERIKALI imesema madai ya baadhi ya vijana waliohitimu katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuruhusiwa kujiunga na vikundi vya majeshi ya nchi jirani yanayopigana ni kukosa uzalendo na uaminifu kwa taifa.
10 years ago
Bongo Movies11 May
Hapa na Pale: Pole Nisha kwa Kuvamiwa na Wezi
“Kila jambo hujengwa kwa imani,nakushukuru baba hakika wewe ndo ulinipa na wewe ndo umechukua, ahsanteni wezi/majambazi
Wapenzi nimevamiwa usiku wa kuamkia leo (jana), watu wasiopungua watano,wamekuja na gari kabisa,wamechukua walivyochukua kikubwa nipo hai’- Hayo ndiyo maelezo ya Staa wa Bongo Movies Salma Jabu ‘Nisha’ mara baada ya Wezi kumvamia na kukomba vitu baadhi kama unavyoona hapo juu pichani.
Pole sana Nisha, Mungu akupe nguvu na baraka zaidi.
Mzee wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PHbtIw7zbFs/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3FDhOft3D54/U6SbUduXSkI/AAAAAAAFsC4/FRcQPN8LUcg/s72-c/images.jpg)
KUVAMIWA KWA AKAUNTI YANGU BINAFSI YA BARUA PEPE - SULEIMAN SALEH
![](http://4.bp.blogspot.com/-3FDhOft3D54/U6SbUduXSkI/AAAAAAAFsC4/FRcQPN8LUcg/s1600/images.jpg)
Leo hii Ijumaa Juni 20, 2014, kuanzia saa 5 mchana kwa saa za Marekani na saa 12 jioni kwa saa za Tanzania nimegundua kwamba akaunti yangu binafsi ya barua pepe kidundo2001@yahoo.comimevamiwa na wahalifu. Nimechukuwa hatua stahili na za haraka katika kushughulikia tatizo hili. Naomba kuwashukuru wote walionitanabahisha kwa kufahamu kwamba niko Washington DC, Marekani, na wakashangazwa kupokea barua pepe nyingi ambazo zimedai kwamba niko Nassau, Bahamas, Manila...
5 years ago
BBCSwahili15 May
Zoom yashtakiwa na Kanisa baada ya mafunzo ya bibilia kuvamiwa kwa picha za ngono dhidi ya watoto
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uBT-csvC4WU/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
Zaidi ya watu 120 wameuwa baada ya tukio la kuvamiwa kwa jiji la Paris na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi
Vikosi vya uokoaji wakiendelea na kutoa huduma wakati wa tukio hilo usiku wa kuamkia leoo katika jiji la Paris, nchini Ufaransa.
[PARIS] Watu zaidi ya 120 wameuwa na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi baada ya kuvamia jiji la Paris, Ufaransa nje ya uwanja wa uliokuwa ukichezwa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani (Stade de France).
Ripoti zinasema wakati mchezo huo ukiendelea ilisikika milio ya mabomu matatu (3) yakilia nje ya...
11 years ago
BBCSwahili29 May
UN yashutumu mwanamke Mpakistan kuuliwa
9 years ago
GPLCCM YASHUTUMU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MCT