Hapa na Pale: Pole Nisha kwa Kuvamiwa na Wezi
“Kila jambo hujengwa kwa imani,nakushukuru baba hakika wewe ndo ulinipa na wewe ndo umechukua, ahsanteni wezi/majambazi
Wapenzi nimevamiwa usiku wa kuamkia leo (jana), watu wasiopungua watano,wamekuja na gari kabisa,wamechukua walivyochukua kikubwa nipo hai’- Hayo ndiyo maelezo ya Staa wa Bongo Movies Salma Jabu ‘Nisha’ mara baada ya Wezi kumvamia na kukomba vitu baadhi kama unavyoona hapo juu pichani.
Pole sana Nisha, Mungu akupe nguvu na baraka zaidi.
Mzee wa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNISHA AWASHTAKIA WEZI KWA MUNGU
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
Nisha: Wezi Wa Kazi Zetu Wanatushusha....Shabiki Nini Kifanyike?
Ikiwa ni siku tatu tu! zimebaki kutoa movie yake mpya HAKUNA MATATA mwigizaji wa kike wa filam hapa bongo, Salma Jabu Nisha kupitia mtandaoni ameonyesha kuumizwa naswala zima la wezi wa kazi za wasanii hapa nchini na kusema ndio kitu pekee kinachaowarudisha nyuma, katika kuelezea swala hilo akaomba mchango wa mawazo ya jinsi ya kulitatua taizo hili.
Nanukuu;
"Swala la msanii kuibiwa ni swala sugu sana,wewe shabiki yetu tukipotea kwenye tasnia utajiskiaje?
Kikubwa kazi zetu zinaibiwa...
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
9 years ago
VijimamboBASATA YADAI ADHABU KWA SHILOLE IPO PALE PALE, YASEMA INAKUSANYA USHAHIDI KUMTWANGA NYUNDO NYINGINE
Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa.Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa kwa Shilole imetokana na sheria na kanuni zilizotokana na bunge na kwamba kwa sasa wanakusanya ushahidi ili kuchukua...
9 years ago
Bongo508 Sep
BASATA ladai adhabu kwa Shilole ipo pale pale, yadai inakusanya ushahidi kumtwanga nyundo nyingine
10 years ago
GPLHapa Emerson, pale Tegete …
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
Hapa Na Pale: Lulu Awa Mtamu Chuoni!!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ , ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu , anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar.
Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake mbalimbali zaidi ya...
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
Hapa na Pale: Amanda Ajipoza Machungu na Paka!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.
Akipiga stori na GPL, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto.
“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na...
10 years ago
Bongo Movies16 Feb
Hapa na Pale: Ray Amtapeli Upya Johari
Gazeti la udaku la KIU, limeripoti kuwa hali ndani ya kampuni ya RJ inaendelea kutokuwa shwari kwa kile kinachodaiwa kuwa kuwa wakurugenzi waanzilishi wa kampuni hiyo Vicent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ kutokuwa na maelewano mazuri na sasa ikidawa kuwa chanzo ni pesa kutoka kwa wadhamni waliokuwa wakihitaji kudhamini filamu inayotengenezwa na makampuni hayo.
Chazo hicho ambacho kipo ndani ya kampuni hiyo kilisema kuwa pesa hizo zilitolewa na mfanyabiashara maarufu ambaye...