M/kiti wa CCM Majohe ajiuzulu baada ya tuhuma za rushwa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Majohe, Gekura Gisiri, amejiuzulu baada ya mgombea wa udiwani kwenye kata hiyo, Hassan Kingalu aliyekuwa akilalamikiwa kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni kutangazwa mshindi atakayegombea udiwani wa kata hiyo.
Pamoja na hatua hiyo ya kujiuzulu, wananchi wa eneo hilo nao wameonyesha kutokukubaliana na kupitishwa kwa mgombea huyo, kwa kudai kuwa hana sifa za kuwa kiongozi wao.
Mwenyekiti huyo wa CCM kata ya Majohe, Gekura Gisiri...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Aug
20 CCM washikiliwa kwa tuhuma za rushwa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nkasi mkoani Rukwa, inawashikilia wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo diwani wa Viti Maalumu (CCM) aliyemaliza muda wake, wakituhumiwa kutoa na kupokea rushwa.
11 years ago
Habarileo15 Jun
Tuhuma za rushwa ni hisia tu-Wizara
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema tuhuma za rushwa zinazoambatanishwa na kazi ya usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji ni hisia tu za wahusika.
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Hakimu mbaroni kwa tuhuma ya rushwa
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
WATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZleUors0eTY/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Tuhuma za rushwa zawakera wajumbe wateule wa Rais
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Mkurugenzi wa Wizara ya Afya kortini kwa tuhuma za rushwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bsue-*vlnnaVH*u*jsR3SMkhOEtaUm0*Lq2LAx1qWCfX2ROq43nMDQLQPCKN*Ev6Z2YgUnxLCf46mTHSsDwS5ilXvGYSC52g/thabombekileatherchair.jpg?width=650)
SAKATA LA FIFA, THABO MBEKI AHUSISHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa