Tuhuma za rushwa zawakera wajumbe wateule wa Rais
Sakata la baadhi ya wajumbe wa kuteuliwa katika Bunge la Katiba, kutuhumiwa kuhongwa chakula na vinywaji ili waunge mkono hoja ya Serikali mbili, sasa limetawala mijadala ya wajumbe wa bunge hilo nje ya Bunge, huku wengine wakitaka suala hilo liondolewe kwenye Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV10 Nov
Wajumbe wateule waendelea kupinga kufutwa kwa matokeo Uchaguzi  Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wateule Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) wamesema hawapo tayari kurudia Uchaguzi Mkuu kwa madai ya kuwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 siyo batili.
Huku wakiitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutengua tamko la kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi na badala yake kutangaza matokeo ya Majimbo yote yaliyofanyika uchaguzi huo.
Abubakari Khamis Bakari ametoa tamko hilo ambalo ni azimio la wawakilishi wateule 27 kupitia chama hicho Zanzibar na kusema kuwa...
11 years ago
Habarileo15 Jun
Tuhuma za rushwa ni hisia tu-Wizara
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema tuhuma za rushwa zinazoambatanishwa na kazi ya usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji ni hisia tu za wahusika.
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Hakimu mbaroni kwa tuhuma ya rushwa
10 years ago
Habarileo02 Aug
20 CCM washikiliwa kwa tuhuma za rushwa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nkasi mkoani Rukwa, inawashikilia wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo diwani wa Viti Maalumu (CCM) aliyemaliza muda wake, wakituhumiwa kutoa na kupokea rushwa.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZleUors0eTY/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTo4XjsjDWuyoiadHpyhARrrv67snMtzEJ29J*kWeo93LKN3dBGhfVslw5KKW9C7jlB4pxqPn8fDpGQ8PF8me*7/FIFA.jpg?width=650)
MAAFISA WA FIFA WAKAMATWA ZURICH KWA TUHUMA ZA RUSHWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bsue-*vlnnaVH*u*jsR3SMkhOEtaUm0*Lq2LAx1qWCfX2ROq43nMDQLQPCKN*Ev6Z2YgUnxLCf46mTHSsDwS5ilXvGYSC52g/thabombekileatherchair.jpg?width=650)
SAKATA LA FIFA, THABO MBEKI AHUSISHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa
9 years ago
StarTV20 Aug
M/kiti wa CCM Majohe ajiuzulu baada ya tuhuma za rushwa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Majohe, Gekura Gisiri, amejiuzulu baada ya mgombea wa udiwani kwenye kata hiyo, Hassan Kingalu aliyekuwa akilalamikiwa kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni kutangazwa mshindi atakayegombea udiwani wa kata hiyo.
Pamoja na hatua hiyo ya kujiuzulu, wananchi wa eneo hilo nao wameonyesha kutokukubaliana na kupitishwa kwa mgombea huyo, kwa kudai kuwa hana sifa za kuwa kiongozi wao.
Mwenyekiti huyo wa CCM kata ya Majohe, Gekura Gisiri...