Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM YATANGAZA KUSITISHA MIKUTANO YA NDANI NA HADHARA KUWAEPUSHA WANACHAMA WAKE, WANANCHI KUPATA MAAMBUKIZI YA ORONA

*Polepole ampa ushauri Mbowe...asema kwenye hili la Corona tuache mzaha kwani madhara yake ni makubwa 

Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii


CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetangaza kusitisha mikutano yake ya ndani na hadhara kwa lengo la kuwaepusha wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kupata maambukizi ya virusi vya Corona.

Akizungumza leo Machi 17 mwaka 2020,Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema Corona ni janga la kidunia na Chama hicho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Raia Mwema

CCM ilifufuka kwa mikutano ya hadhara inayokatwaza na serikali yake sasa!

JAMBO moja nililolisikia likirudiwa katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wiki iliyopi

Njonjo Mfaume

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana akagua Ujenzi Daraja la Sibiti linalounganisha Singida na Simiyu na kuhutubia mamia ya Wananchi katika Mikutano ya hadhara Iramba

1. Kinana akihutubia katika kijiji cha Nkungi, Wilaya ya Mkalama

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman  Kinana akitoa orodha ya vijiji vitakavyopata huduma ya umeme katika wilaya ya Mkalama, alipohutubia mkutano wa hadharakwenye  kijiji cha Nkungi, Wilaya humo,  Mei 24, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba mkoani Singida.

1. Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parceko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Kinana (kulia) maendeleo ya daraja la Mto Sibiti, Unaounganisha Singida na Simiyu,

Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana...

 

5 years ago

Michuzi

TUMEANZA KUPATA MAAMBUKIZI YA NDANI YA VIRUSI VYA CORONA - UMMY

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Tanzania imeanza kupata maambukizi ya Virusi vya Corona ya ndani kuanzia maambukizi yaliyopatikana tarehe 08/04/2020. Amesema kuwa tahadhari kubwa inahitajika katika kuhakikisha kuzuia kuendelea kwa maambukizi ya kijamii itasababisha kuongezekana kwa kasi ya maambukizi katika jamii. Ameyazungumza hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano na viongozi wakuu wa madhehebu ya dini katika kujadiliana namna ya...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mikutano ya hadhara haijaruhusiwa’

>Serikali imeendeleza kigugumizi cha kutoruhusu mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara hadi hapo itakapotangazwa.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI: TANZANIA IMEANZA KUPATA MAAMBUKIZI YA NDANI YA VIRUSI VYA CORONA, ITABIDI TUFANYE TAHADHARI ZAIDI KUJIKINGA KWA KUVAA MASKI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na viongozi wa diniNa Mwandishi Wetu WAMJW, Dar es SalaamWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Tanzania imeanza kupata maambukizi ya Virusi vya Corona ya ndani kuanzia maambukizi yaliyopatika tarehe 08/04/2020.Amesema kuwa tahadhari kubwa inahitajika katika kuhakikisha kuzuia kuendelea kwa maambukizi ya kijamii itasababisha kuongezekana kwa kasi ya maambukizi katika...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA - Zanzibar aendelea na mikutano ya hadhara Mkoani Rukwa

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kisumba, Jimbo la Kalambo, mkoani Rukwa, katika mfululizo wa mikutano ya ziara ya Operesheni Delete CCM katika vijiji vya mkoa huo (Ijumaa 28/11/2014). Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akikumbatiana na mzee ambaye alikuwa mmoja wa wasikilizaji kwenye mkutano wa Operesheni Delete CCM uliofanyika katika Kijiji cha...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA Tumeona kupitia vyombo vya habari na njia mbalimbali za upashanaji taarifa kwamba Waziri Mkuu Majaliwa Kassim amenukuliwa akitoa kauli inayoonesha Serikali ya CCM inataka kuzuia shughuli za kisiasa hususan mikutano ya hadhara.Kupitia kauli hiyo, Waziri Mkuu amenukuliwa zaidi akisema kuwa Uchaguzi umekwisha hivyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani