Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yatangaza ukaguzi wa katiba za wanachama wake


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TFF kuhakiki katiba za wanachama

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linatarajiwa kuendesha zoezi la ukaguzi wa katiba za wanachama wake ili kuhakikisha hazipingani na za Shirikisho la Kimataifa (Fifa), CAF na TFF. Kwa mujibu wa...

 

5 years ago

Michuzi

CCM YATANGAZA KUSITISHA MIKUTANO YA NDANI NA HADHARA KUWAEPUSHA WANACHAMA WAKE, WANANCHI KUPATA MAAMBUKIZI YA ORONA

*Polepole ampa ushauri Mbowe...asema kwenye hili la Corona tuache mzaha kwani madhara yake ni makubwa 

Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii


CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetangaza kusitisha mikutano yake ya ndani na hadhara kwa lengo la kuwaepusha wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kupata maambukizi ya virusi vya Corona.

Akizungumza leo Machi 17 mwaka 2020,Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema Corona ni janga la kidunia na Chama hicho...

 

9 years ago

Habarileo

TFF yatangaza orodha ya waamuzi wa semina

KAMATI ya waamuzi imetangaza orodha ya waamuzi watakaoshiriki kwenye semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza Agosti 21- 25, 2015 jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

TFF YATANGAZA VIINGILIO VYA AZAM VS YANGA

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Boniface Wambura akiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari mbalimbali wakimsikiliza Wambura.…

 

10 years ago

Michuzi

TFF YATANGAZA RASMI RATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA

 Rais Wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mh Jamal Malinzi akizungumza na wanahabari leo katika ofisi za TFF kuhusu kampuni ya Proin Promotions ltd kudhamini Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Kombe la Wanawake Taifa, mashindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 28 Disemba kwa kushirikisha timu kutoka Mikoa yote ya Tanzania. Mashindano hayo yatazinduliwa Mkoani Mwanza kwa kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Kushoto kwa rais wa TFF ni Rose Kissiwa ambae ni...

 

9 years ago

StarTV

TFF: Yatangaza ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016, ambao utakuwa na jumla ya timu 16 badala ya 14 za msimu uliopita.

Ligi Kuu ya Bara imepangwa kuanza Septemba 12 mwaka huu, na itamalizika Mei saba mwakani, lakini itasimama kwa mapumziko kati ya Novemba saba na Desemba 19 mwaka huu, kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa.

 

TFF imetangaza ratiba ya ligi hiyo, na kusema imezingatia ratiba ya mashindano mbalimbali ya kitaifa na...

 

10 years ago

Michuzi

TFF yaiagiza Klabu ya Coastal Union kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama

KUFUATIA vikao vya maridhiano ya Uhakiki wa wanachama wa Klabu ya Coastal Union ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) Ahmed Iddi Mgoyi.
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine ameiandikia barua Klabu ya Coastal Union akiiagiza klabu hiyo kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama tarehe 17 Mei mwaka 2015.
Matokeo ya maamuzi haya yamepatikana baada ya kikao cha usuluhishi cha amani kilichoongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ahmed Iddi Mgoi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani