TFF yaiagiza Klabu ya Coastal Union kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama
![](http://2.bp.blogspot.com/-wycmbTx22Yk/VUm_yGFezhI/AAAAAAAHVsQ/lN2fyQvsOv0/s72-c/coastal.jpg)
KUFUATIA vikao vya maridhiano ya Uhakiki wa wanachama wa Klabu ya Coastal Union ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) Ahmed Iddi Mgoyi.
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine ameiandikia barua Klabu ya Coastal Union akiiagiza klabu hiyo kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama tarehe 17 Mei mwaka 2015.
Matokeo ya maamuzi haya yamepatikana baada ya kikao cha usuluhishi cha amani kilichoongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ahmed Iddi Mgoi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3J4yygCW4E/VVbtHX6RzzI/AAAAAAAHXiM/hMAq4PXY-FE/s72-c/coastal.jpg)
MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI TANGA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3J4yygCW4E/VVbtHX6RzzI/AAAAAAAHXiM/hMAq4PXY-FE/s640/coastal.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3J4yygCW4E/VVbtHX6RzzI/AAAAAAAHXiM/hMAq4PXY-FE/s72-c/coastal.jpg)
MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI HAPA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3J4yygCW4E/VVbtHX6RzzI/AAAAAAAHXiM/hMAq4PXY-FE/s640/coastal.jpg)
9 years ago
Michuzi03 Nov
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi TFF na wadau wa soka
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi wadau wa soka pamoja na shirikisho la soka nchini (TFF) kwa vurugu zilizotokea
kwenye mchezo wa baina yake na Mbeya City uliofanyika mwishoni mwawiki uwanja wa CCM Mkwakwani.
Mchezo huo wa ligi kuu Vodacom ulimalizika kwa vurugu hadi kikosi chakutuliza ghasia kilipoingilia kati na kutumia mabomu ya machozikuwatawanya mashabiki wa soka waliokuwepo katika uwanja wa Mkwakwani.
Vurugu hizo zilitokea kufuatia mwamuzi,Erick Enock kutoka...
9 years ago
MichuziMKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA- UTPC MJINI MOROGORO
Hapa ni katika ukumbi wa Flomi Hotel mjini Morogoro ambako leo Ijumaa Novemba 06,2015 kunafanyika mkutano mkuu wa wanachama wa Muungano wa Klabu za waandishi wa habari Tanzania-UTPC wanakutana kujadili mambo mbali mbali ili kuboresha taaluma ya uandishi wa habari nchini Tanzania.Mkutano huo wa siku mbili unakutanisha wenyeviti wa klabu za waandishi wa habari Tanzania,makatibu na waweka hazina.Katika mkutano huo pia utafanyika uchaguzi wa rais wa UTPC na wajumbe wa bodi wa UTPC-Fuatilia picha...
10 years ago
Michuzi09 Jul
TFF YAUPONGEZA UONGOZI WA COASTAL UNION
Katika salamu zake kwa Mwenyekiti mpya wa klabu hiyo Dr. Twaha, Karia amesema anawapa pongezi wa kuchaguliwa na kupewa heshima hiyo na wanachama wa Coastal Union katika kuitumikia klabu yao.
“Kikubwa wanachopaswa kufanya kwa sasa ni kuodokana na makundi ya aina yoyote, na kuifanya Coastal Union kuwa kitu kimoja na...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FE61DWE-tbI/U-s0K5uYcOI/AAAAAAAF_IY/dIqCsRzCW5A/s72-c/Nembo-ya-TFF.jpg)
TFF HAITAMBUI MABADILIKO YA UONGOZI COASTAL UNION
![](http://2.bp.blogspot.com/-FE61DWE-tbI/U-s0K5uYcOI/AAAAAAAF_IY/dIqCsRzCW5A/s1600/Nembo-ya-TFF.jpg)
Uongozi wa Coastal Union uliochaguliwa na mkutano wa uchaguzi wa klabu hiyo ndiyo ambao tunautambua, na tutaendelea kufanya nao kazi, na sio uongozi mwingine wowote ule.
Tunapenda kuwakumbusha wanachama wetu (ikiwemo Coastal Union) kuheshimu katiba ya TFF pamoja na katiba zao, kwani hazitambui mapinduzi ya...
11 years ago
GPLTFF HAITAMBUI MABADILIKO YA UONGOZI WA COASTAL UNION
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
TFF: Yatuma salamu za rambirambi Coastal Union baada ya kuondokewa na mchezaji wao U20
Rais wa Shirikisho la Soka nchini, Jamal Malinzi..
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambirambi kwa mwenyekiti wa klabu ya Coastal Union, Dr Twaha Ahmed kufuatia kifo cha mchezaji Mshauri Salim aliyefariki jana jioni jijini Tanga.
Katika salam hizo za Rais wa TFF, Jamal Malinzi kwenda kwa uongozi wa klabu ya Coastal Union, amewapa pole wafiwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na uongozi wa klabu hiyo na kusema TFF wako nao pamoja katika kipindi hichi cha...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Fw1K7PdqaVI/VVxLX5vzWLI/AAAAAAAHYbA/wOPpx-kqi2w/s72-c/images.jpeg)
UCHAGUZI MKUU COASTAL UNION KUFANYIKA JULAI 5
![](http://2.bp.blogspot.com/-Fw1K7PdqaVI/VVxLX5vzWLI/AAAAAAAHYbA/wOPpx-kqi2w/s400/images.jpeg)
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Melchesedek Lutema ametoa ratiba ya mchakato mzima wa uchaguzi huo, ambapo tarehe 21-22 Mei mwaka huu zitatangazwa nafasi zote zinazogombewa.
Kwa mujibu wa kalenda hiyo ya Uchaguzi, tarehe 23-30, Mei 2015 itakua ni kipindi cha uchukuaji fomu kwa wagombea wote na kuzirudisha, wakati...